Big Brother Africa 2014 (Hot Shots) - Special thread

Big Brother Africa 2014 (Hot Shots) - Special thread

Hiyo nguo alovaa lilian jaman naic wale maboy wote mapunga mana ule uzur wake plus hajichubui ka malaya wa kibongo naic kwa boy kamili muda wote atautumia choon kupga punyeto mana dada mzur plus nguo alovaa wale boy hata mbele hapajatuna yawezekana pia ushoga kgezo mana samak protein nngekuwa me mauj lazima yachane nyuz mana lile xo la kusema linazoeleka kamwe hapa yenyewe ka ingekuwa geto naapa hesabu ya tajir ningeitafuta very soon kaz ipo bba bora hawajanipeleka mana mngeskia mbongo kambaka m2
 
Yeah mkuu....ile nguo ni kutafutiana lawama tu...nashangaa wakina Tayo,JJ,Idris,Frankie, marky 2 wapo normal tu....kwel hata mimi ningeshindwa.
 
Na kuna mjomba nae ndo kaua mana alikuwa anamdodosa mwanamke flan chin ya kiuno af yule kujionyesha ye ana balaa kwanza kalala kifudfud af anatingisha mzigo ka anacheza mziki wa ivory coast af kumpimia bozen nkaona yupo normal ndo nkaona kwel ile michuma anayobeba zuga2 yawezekana mfua mkubwa ka john cena ila nguvu hamna mana yule dem naic hata nguo ya ndan pale kang'ani
 
Waendeshaji walichemka kwa kumsahau jamaa mmoja kwa hiyo wamerudia kutaja tena kwa kuongeza mtu aliyesahaulika jana yaani, Permithius.

Kwa hili wanaonekana kutokuwa makini kabisa!

Halafu hili shindano lina tatizo la ubora kiasi kwamba wakati mwingine sauti inakatika hata washiriki wakiwa kwenye diary room! Ni tofauti sana na mashindano ya nyuma!
 
Preta unaona michemsho inayoendelea kwenye mchezo?

Naona bibi anazidi kupoteza mzuka..lol!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom