Big Brother Africa 2014 (Hot Shots) - Special thread

Big Brother Africa 2014 (Hot Shots) - Special thread

Sidhani kama laveda ata-survive next sunday.
#Results of today's eviction show
1. JJ-5
2.Tayo-3
3. Permithias-2
4.Ellah-1
5.Frankie-1
6.Laveda-1
7.Sabina-1
8.Ester-0
9.Lilian-0

Hivi ndivyo Nchi zilivyopiga kura.

Botswana – JJ
Ghana – Tayo
Kenya – Sabina
Malawi – JJ
Mozambique – JJ
Namibia – Permithias
Nigeria – Tayo
Rest of Africa – Tayo
Rwanda - Frankie
South Africa – JJ
Tanzania – Laveda
Uganda – Ellah
Zambia – Permithias
Zimbabwe – JJ
According to the Big Brother Africa rules, if the
popularity vote does not yield clear evictees and
there is a deadlock between two or more
housemates, the percentage vote from each of the
15 regions will be added together and divided by
14 in order to generate an across-the-board
percentage, which will then ascertain who stays
and who goes.
The three housemates that were evicted as per
the tie-breaker rules are therefore Sabina, Lilian
and Esther.

Kwa hiyo..Lilian, Ester na Sabina wametolewa mjengoni.
 
KAMA UTAPIGA KULA ATASAVIVE TU MBONA. TENA UZURI HAWATAINGIA WOTE YEYE NA IDRISA MAANA IDRISA AMETAJWA MARA MOJA TUU elnino
 
Last edited by a moderator:
Yeah mkuu Elviejo, kura toka Tz ndizo zitamfanya aendelee kuwepo mjengoni. Ila kwa kweli dada yetu Laveda hakubaliki saaana kule mjengoni.

Big up Idris...jamaa atafika mbali na ile strategy yake kwa yule dada wa Botswana.
 
Hivi Idris yupo kwenye eviction nominees week hii..?
Kama Idris hayupo....Lavada might survive cz waTz watampa kura.

Tusitegemee kura yetu tu ndo itambakisha.. Kubaki unahitaji kukubaliwa na nchi zingine. Hata Sabina alipata kura ya kwao lakini katoka. Mimi nachoona huyu demu arudi nyumbani tu East Africa tukomae na Idris..
 
Yeah mkuu....demu mwenyewe hakubaliki hata na housemates karibu wote.
 
Yeah mkuu...sema demu mwenyewe hakubaliki hata na wenzake mjengoni.
 
Yeah mkuu....demu mwenyewe hakubaliki hata na housemates karibu wote.

Ni kweli ana bore na alipata kura ya Tanzania tofauti na akna Jj alipigiwa kura na nchi tano Tayo na tatu yeye atoke tu hafu ajicha ganyi na wengine na inatakiwa pia upigiwe na nchi nyingine
 
Yeah mkuu...sema demu mwenyewe hakubaliki hata na wenzake mjengoni.

Alafu tangia asifiwe kupuliza lile dude lake basi ndio kila muda analipuliza.. Mpaka anakera sasa, huyu demu kusema kweli Mi wala sitahangaika kumvote..
 
Yanii Laveda hapendwi mle ndani aisee mpaka sasa anakura 11 karibu kila mtu alimpigia.. it seems anajisikia sana na mkorofi anadhani anapendwa huku nje sababu ya Sax yake ile
 
Ni kweli ana bore na alipata kura ya Tanzania tofauti na akna Jj alipigiwa kura na nchi tano Tayo na tatu yeye atoke tu hafu ajicha ganyi na wengine na inatakiwa pia upigiwe na nchi nyingine

Nchi za SADC zinashirikiana sana linapokuja swala la kumpigia mshiriki wao kura.. Ndio maana washiriki wao wote walipata kura zaidi ya moja. Hii ilikua wiki mbaya kwa East Africa cuz tulikua na washiriki watano wa kuwapigia kura. Cha msingi tuombe Rwanda aungane na sie EA na pia UG wasijifanye kuwasupport Nigeria sababu ya urafiki wa Tayo na Esther
 
Back
Top Bottom