Utamaduni haudhibitiwi kwa sheria na mkono wa serikali. Serikali haitakiwi kutunga sheria kwamba kila kijana anapomkuta mzee amsalimie shikamooUshoga ni kinyume cha tamaduni na maadili yetu
Mashoga hatuwezi kuwapa uhuru ili kuleta mmomonyoko wa maadili kwa watoto wetu
Huo ushoga huko unakotoka ni tamaduni zao
Ambao na wao hawatakubali tamaduni zetu
Kila raia, awe kiongozi au asiye na cheo ana wajibu wa kulinda jamii na nchi kwa ujumla.Wakati serikali, wanaharakati na wapenda amani wakipambana dhidi ya kuenea kwa vitendo vya kishoga na kisagaji, mashabiki wa mambo ya ushoga na usagaji wameanza kuingiza vitendo hivyo hapa nchini kupitia kwenye biblia kwa kasi ya kutisha. Biblia hizo zimenyofolewa baadhi ya vifungu vyenye maadili na kuchomekea vifungo vya kishoga kama inavyoelezwa kwenye video hii hapa chini.
Kana kwamba hilo halitoshi, biblia hizo zimeanza kutafsriwa kwa Kiswahili ili ujumbe wa kishoga uwafikie wote watakaozisoma. Serikali isipokuwa makini kudhibiti uagizaji na uingizaji wa biblia hizo, nchi nzima itatumbukia kwenye ushoga na usagaji; hakuna atakayepona, awe mkristo au muislamu.
View attachment 2964514
MAONI YANGU
Mara nyingi watu wamekuwa na mtazamo hasi kwamba vitendo vya kishoga vinaanzia uarabuni kumbe sasa kila mtu anaona kuwa vitendo hivi havina mipaka na kwamba vinaweza kutokea mahali popote, iwe Magharibi au Mashariki.
Kwa kweli kama alivyosema Mwakyembe, ni vigumu sana ushoga kuingia kupitia kwenye korani kwa kuwa waislamu wana msimamo mkali. Ni rahisi kupitia kwenye biblia kwa kuwa wakristo wamegawanyika sana na wengi wao ni wachumiatumbo. Wapo tayari kuuza utu wao kwa kipande cha fedha kama Yuda alivyomuuza Yesu. Mambo kama haya huwezi kuyaona kwa waislamu. Wakrito kuna mahali wanakwama sio bure.
Nawasilisha.
Hatuko serious ktk hili suala. Naona kama tunajichetua tu.Tunahitaji viongozi wa aina ya Mh Harrison Mwakyembe Ili kuongeza nguvu ya kupinga LAANA hii Kwa Taifa letu,
Ushujaa wake ni upi?Salaam, shalom!!
Nchi hii inahitaji mashujaa aina ya Mh Harrison Mwakyembe, Haiwezekani kitabu kitakatifu, neno la Mungu kuchakachuliwa na kuwekwa mambo maovu yanayohusu vitendo vya ushoga, na kuingizwa nchini Kupitia masharti ovu ya misaada.
Akizungumza katika press conference iliyoandaliwa na Tengwa Tv chini ya Mwalimu Tengwa, amesema tayari Kuna BIBLIA zimeingizwa nchini zilizochakachuliwa na kuingizwa mafundisho ya USHOGA Ili huingiza Elimu hiyo ovu nchini Kupitia Taasisi Toka nje.
Tunahitaji viongozi wa aina ya Mh Harrison Mwakyembe Ili kuongeza nguvu ya kupinga LAANA hii Kwa Taifa letu, tunakuhitaji Ili kukomesha vikundi na Taasisi hizi za UOVU Toka nje wenye Nia ya kuharibu vizazi vyetu vijavyo Kwa kuharibu watoto wetu kuanzia mashuleni Kwa kueneza Elimu ya UOVU wa ushoga.
Ifikapo 2025, Tia Nia Jimbo lolote na Kwa chama chochote, utashinda.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Source: Tengwa Tv.
Ushoga ulikuwepo, Upo na utaendelea kuwepo hapa duniani, whether we like it or not, but this is the bitter truth.Wakati serikali, wanaharakati na wapenda amani wakipambana dhidi ya kuenea kwa vitendo vya kishoga na kisagaji, mashabiki wa mambo ya ushoga na usagaji wameanza kuingiza vitendo hivyo hapa nchini kupitia kwenye biblia kwa kasi ya kutisha. Biblia hizo zimenyofolewa baadhi ya vifungu vyenye maadili na kuchomekea vifungo vya kishoga kama inavyoelezwa kwenye video hii hapa chini.
Kana kwamba hilo halitoshi, biblia hizo zimeanza kutafsriwa kwa Kiswahili ili ujumbe wa kishoga uwafikie wote watakaozisoma. Serikali isipokuwa makini kudhibiti uagizaji na uingizaji wa biblia hizo, nchi nzima itatumbukia kwenye ushoga na usagaji; hakuna atakayepona, awe mkristo au muislamu.
MAONI YANGU
Mara nyingi watu wamekuwa na mtazamo hasi kwamba vitendo vya kishoga vinaanzia uarabuni kumbe sasa kila mtu anaona kuwa vitendo hivi havina mipaka na kwamba vinaweza kutokea mahali popote, iwe Magharibi au Mashariki.
Kwa kweli kama alivyosema Mwakyembe, ni vigumu sana ushoga kuingia kupitia kwenye korani kwa kuwa waislamu wana msimamo mkali. Ni rahisi kupitia kwenye biblia kwa kuwa wakristo wamegawanyika sana na wengi wao ni wachumiatumbo. Wapo tayari kuuza utu wao kwa kipande cha fedha kama Yuda alivyomuuza Yesu. Mambo kama haya huwezi kuyaona kwa waislamu. Wakrito kuna mahali wanakwama sio bure.
Nawasilisha.
PIA SOMA
- Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali
- Mwakyembe aitwa na NaCoNGO kueleza kwa kina madai aliyoibua kuhusu baadhi ya ngo kuhusika kueneza mapenzi ya jinsia moja nchini
- Inakuwaje serikali inapuuzia ripoti nyingi?
Mnawasema mashoga na machoko mnawasahau wanawake wenye madaraka wanasagana nje nje. Wengine Ni wabunge, wakurugenzi, wakuu wa taasisi. N.k ( konda boy mpelelezi wa taifa anaweza kua na majina Yao)So mitume, manabii, waamuzi, marabi nao wanakuwa machoko humo ? Aloo
Huyu mnafiki alishapukutika kama vumbi mwache apumuzikeWakati serikali, wanaharakati na wapenda amani wakipambana dhidi ya kuenea kwa vitendo vya kishoga na kisagaji, mashabiki wa mambo ya ushoga na usagaji wameanza kuingiza vitendo hivyo hapa nchini kupitia kwenye biblia kwa kasi ya kutisha. Biblia hizo zimenyofolewa baadhi ya vifungu vyenye maadili na kuchomekea vifungo vya kishoga kama inavyoelezwa kwenye video hii hapa chini.
Kana kwamba hilo halitoshi, biblia hizo zimeanza kutafsriwa kwa Kiswahili ili ujumbe wa kishoga uwafikie wote watakaozisoma. Serikali isipokuwa makini kudhibiti uagizaji na uingizaji wa biblia hizo, nchi nzima itatumbukia kwenye ushoga na usagaji; hakuna atakayepona, awe mkristo au muislamu.
MAONI YANGU
Mara nyingi watu wamekuwa na mtazamo hasi kwamba vitendo vya kishoga vinaanzia uarabuni kumbe sasa kila mtu anaona kuwa vitendo hivi havina mipaka na kwamba vinaweza kutokea mahali popote, iwe Magharibi au Mashariki.
Kwa kweli kama alivyosema Mwakyembe, ni vigumu sana ushoga kuingia kupitia kwenye korani kwa kuwa waislamu wana msimamo mkali. Ni rahisi kupitia kwenye biblia kwa kuwa wakristo wamegawanyika sana na wengi wao ni wachumiatumbo. Wapo tayari kuuza utu wao kwa kipande cha fedha kama Yuda alivyomuuza Yesu. Mambo kama haya huwezi kuyaona kwa waislamu. Wakrito kuna mahali wanakwama sio bure.
Nawasilisha.
PIA SOMA
- Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali
- Mwakyembe aitwa na NaCoNGO kueleza kwa kina madai aliyoibua kuhusu baadhi ya ngo kuhusika kueneza mapenzi ya jinsia moja nchini
- Inakuwaje serikali inapuuzia ripoti nyingi?
Ushoga ndio kusagana ujue hiloMnawasema mashoga na machoko mnawasahau wanawake wenye madaraka wanasagana nje nje. Wengine Ni wabunge, wakurugenzi, wakuu wa taasisi. N.k ( konda boy mpelelezi wa taifa anaweza kua na majina Yao)
Ukikemea ushoga na usagaji uukemee pia.
Allaaaa kumbe.!!!!Ushoga ndio kusagana ujue hilo
Kwa hiyo akina Mwakyembe wanaongea uwongo mkuu? Hilo jambo haliwezekani?Hujui maana ya biblia, maanayake ni kitabu
Kitabu Cha mungu kitaongelea maadili tu. Kama kitabu hakina maadili ni batili
Ni makosa kuhusisa dini flani ukosefu wa maadili
Kwa hiyo mkuu tukae kimya huku watoto wetu wakifirwa? Are you serious or just kidding?Kwa heshima kabisa naomba niseme hawa ni wapumbavu hawajui wanachokiongea. Ifike mahali vyombo husika vihoji ajenda waliyonayo hawa watu.
Kuna jambo mahali halipo sawa, utashtuka hawa wanaupenyeza taratibu kimkakati sana umoja wa LGBTQ.
Mwafrika anapambana na tabia mbaya kwa kutokuzizungumzia, yaani zinakuwa ni mwiko. Hapa kuna ajenda ya ziada tena nzito sana.
Hatuwezi kupambana na LGBTQ kwa mtindo huu, huku sio kupambana nao ni kuueneza zaidi na zaidi. Muda utaongea.