Half Genious
JF-Expert Member
- Feb 28, 2017
- 491
- 786
Asante mkuuMkuu huu mjadala ndio umemaliza hapa, asiyetaka kuelewa na asielewe tena.

shukran sheikhBismillah Raham rahim
Nimepeda hoja zako maana ntawafungua wengi narudia kusema mnapotosha au mnasumbuliwa tafsiri na uzuri wa Quran bado ipo kwenye lugha halisi so kabla kuja huku ni vema ukawa unajiridhisha kwanza vyuo vikuu vikubwa ulimwengu wana vitengo vya utafiti qa kisayansi kupitia Quran.
Qur 88:20: surat Ghashisyia Allah anauliza " Na jins gani tulivyoitandaza Ardhi?"
Ukisoma tafsiri ya kingereza inasema "And at the Earth, how it is spread out?"
Kiarabu inasomeka "Wa-ila li-Ardhi- kaifa sutihat?"
Neno Ardhi kiarabu linamaana mbili ya earth na ardhi kama sisi tunapotumia lakin huwez kutumia neno land wakati unazungumzia earth unamaamisha had eneo la bahari bahari imekaa juu ya ardh...sasa unakiwa unatafsir unangaalia neno hilo linatumika wakati gani na minajili gani mfano aya hiyo ilikuwa ipo kwenye mtiririko wa Allah kuhoji kuhusu mbingu zilivyo,akaja milima na ndio akaja ardh so ulipaswa uchukue maana inayoendana na zipo aya nyingi sana za hivyo ndan ya Quran
Neno zuri lilalofaa hapo ni earth kwa luhha ya kijografia earth pia hutumika kama ardhi.
Lakin kumbuka kuwa Quran ndio ilikuja kutoa tafsir bora kabisa ya umbo la dunia pale Allah alipisema katika surat naziiat 79:30 inasema " "We have made the earth Egg- shape" kiarabu inasoma "Walbada dhalika ardh daha-ha" kama nilivyojueleza kule juu hapa ardh imetumika kama Earth ya dunia Allah akosema tumeumba dunia kwa umbo la Yai...neno Dahaha limetoka kwemye mzizi neno la kiarabu "Duria" likiwa linamaana Ya ndege mbuni so Allha alimaanisha umbo la dunia yetu ni kama yai la mbuni...na leo wansayansi wanakunbalina kiwa dunia yetu yaipo complete round ila ipo spherical shape kama imebonyea juu na chin na kati kati ipo round nadhan unajua nilichosema na ndivyo yai la mbuni lilivyo.!
Hoja yako ya pili ni kule quran 65:12
It is Allah who has created seven heavens and of the earth, the like of them. [His] command descends among them so you may know that Allah is over all things competent and that Allah has encompassed all things in knowledge.
Kama unapoona hapo Allah anazungumzia kuumba mbigu saba sawa sawa na ardhi akiwa na maana ya matabaka saba ya ardh na matabaka saba ya mbingu kitu amacho leo sayans inakikubali kuwa ardh yet ina matabaka saba na pia mbingu zetu zina matabaka saba.
Hoja yako nyingine hii ya Quran 36:38-40 katika sirut yaasin hapa kuna miujiza mikubwa ambayo kupitia aya hii huenda ukaona Allah alivyokuu na ukaamin uwepo wake inasema
36:38
And the sun runs [on course] toward its stopping point. That is the determination of the Exalted in Might, the Knowing.
36:39
And the moon - We have determined for it phases, until it returns [appearing] like the old date stalk.
36:40
It is not allowable for the sun to reach the moon, nor does the night overtake the day, but each, in an orbit, is swimming
Hapa Allah kasema jambo kubwa amabli wengi wetu tulipokuwa shule tulipotoshwa kuwa jua lipo tu limetulia lakin dunua ndui inakizuguka lakin Quran imesema Jua nalo linazunguka kwemye obirt yake leo sayans baada ya kua adadvance inasema jua huchukua siku 26 kukamilisha mzuguke wake wanauita black dot.
Na hakuna sehem kumeandikwa mwez na jua vinakimbizana ila imeandikwa kila kimoja kinaelea kwenye njia yake usije kusema kinaogelea n hapo inakuambia haruhisiwa jua kukutana kila kimoja kipo kwenye njia yake...
Jiulize Muhhamad angeyajua vip haya kama sio kwa yule aliyeviumba hivyo vitu
Hoja yako ya Quran 22:65 surati hajj hapa allha anazungumzia power yake sio kwamba ameshikilia kwa mikono kuwa kila kitu kinachoendelea ulimwenguni au kilichopo kipo kwa vile yeye anataka na vipo wanasayans wameits Law of principle... Aya yenyewe inasema hivyi
Do you not see that Allah has subjected to you whatever is on the earth and the ships which run through the sea by His command? And He restrains the sky from falling upon the earth, unless by His permission. Indeed Allah, to the people, is Kind and Merciful.
Nadhan unaona mwenyewe bapo Allah anafafanua kuwa mbigu zipo zinaelea hazijashikwa na kitu na wala hazina nguzo ni kwa amri yake zipo hivyo zilivyo
Hoja yako ya Quran 31:31 surat Luqman Allha kwenye Quran amekuwa akikumbusha watu mara kwa mara juu Neema alizowandalia wanadamu ili wawezw kuish na kufanya mambo yao ili waweze kumtambua Mola wao neno llilitumuka pale sio miujiza ila ni ishara na ndio maana kasema hizo ni katika favor zake kwa wanadamu ambao walioaswa kushukuru kuoitia bahari wanasafiri na kupata chakula na mali so anakumbusha kama kawaida juu ya watu kutizama vitu na kumshukuruku yeye aya yenyewe inasema hivi
Do you not see that ships sail through the sea by the favor of Allah that He may show you of His signs? Indeed in that are signs for everyone patient and grateful.
Hoja yako ya mwisho Quran 9:29 surat Tawbah hii ni aya namba moja kwa kupotoshwa kwenye Quran na wanaitumia sana wanaoupinga islam sababu wanachikifanya wananyofoa aya moja halafu wanaisambaza
Surah hii ileteremka wakati wa vita na katika surah hii Allah anampa maelekezo Muhamahad juu ya vita hiyo kabla kufika kwenye aya hiyo inayopotosha Allah anamumbia Muhham piganeni katika njia ya Allah msiwauwe wanawake na watoto, walemavu na wagonjwa, msiharibu vyanzo vya maji na wala msikate miti, kisha akasema piganeni na wale tu wanaotaka kupigana na nyie na mstari unapotoshwa ndio unafatia
Fight those who do not believe in Allah or in the Last Day and who do not consider unlawful what Allah and His Messenger have made unlawful and who do not adopt the religion of truth from those who were given the Scripture - [fight] until they give the jizyah willingly while they are humbled
Lakin baada ya Aya hii inasema kama watahitaji suluhu fanyan hivyo haraka na pia muwasindikize kwenye sehem salama..
Nakushauri ukasome mwenyewe kuanzja aya ya kwanza acha kuchomoa chomoa aya moja mija ba kuzipotosha au kushindwa kuzitafsiri sawa uzuri wa kitabu chetu lugha yake ya asiki bado ipo kama tafsiri haijajitoshelza tunarud kwenye lugha yenyewe.!
Allah amesema Hichi ni kitabu kisicho na shaka ndani yake na pia kasema kama mnasema muhamad katunga hii Quran basi leten mfano wake.!
Wabilah Tawfiq
upo sahihi ila biblia imeenda mbele zaidi na kuelezea yesu alizaliwa wakati wa utawala ganiNadandia UGOMVI wenu though sijasoma huko juu mmeanzia wapi na huyo "mgomvi" mwenzio. The truth is, Chrismas pamoja na kusherehekewa na Wakristo wengi but still sio siku aliozaliwa Yesu, hiyo tarehe 25 December ni tarehe ya kutungwa, huyo unae bishana nae wala hana sababu hata ya kwenda kumuuliza Padri wake, hiyo tarehe kwenye Biblia haipo, ilitungwa tu, sasa kama ni vyema kutunga tarehe ni sawa au sio sawa, huo unabaki kua mjadara mwingine. Sijui kama nimedandia train kwa mbele na kufanikiwa kuendelea na safari!?
Mkuu Nyabhingi, ungekua unatoa na hayo maandishi, wengine tunavyokua tunachangia hua tupo mbali na Biblia, I take it as a homework, will do it nitakapokua karibu na Biblia. Naomba usiniulize, why sina Biblia kwenye simu? Jokeupo sahihi ila biblia imeenda mbele zaidi na kuelezea yesu alizaliwa wakati wa utawala gani
tatizo ni kwamba biblia imejichanganya kwa kuonyesha yesu alizaliwa wakati wa tawala mbili tofauti
soma luka 2 na mathayo 2
Mkuu hapo kea farao hiyo context haiendani kabisaa. Mtu hawezi kumrudia Mungu kisha itamkwe amekufa. Kuifia dhambi haiko ktk context hii. Kuifia dhambi ni pale ambapo Mungu amekuwezesha baada ya kumuomba na kumtumikia sana kiasi fulani dhambi fulani hata ile ndogo siyo zote, yaani ile inayomuotea mtu kwa haraka hafanyi. Mfano kama mwanamume akiifia dhambi ya uzinzi hawezi mtamani kingono asiye mkewe. Au kama ni mwanamke dhambi ya usengenyaji haitendi. Hii hutokea pale mtu huyo anpokuwa ushuhuda uishio ili awe mfano wa kuwavuta wengi kumjua Mungu.Mkuu Zitto Jr, kwanza niseme wazi, nimependa jinsi unavyo dadavua, hushindani bali unajenga HOJA, something which I also like. Wakristo wanao bisha hapo kwenye Bold, waende wakasome kwenye Biblia tena kitabu cha Mwanzo sura ya 6 kama sikosei, inasema the same thing na alicho kisema Henoko, na hapo kwenye italic, again sioni kama ni tofauti na Biblia, the issue is, hivi kwa mfano leo hi wanajeshi wote wa JMT (police, wanajeshi, mgambo, TISS, magereza etc) wote wauawe kwenye battle (nasema battle na sio vita) na amiri jeshi mkuu ndio awe amewatuma, tafsiri yake kwa mkuu wa nchi hapo ni ipi kama sio KUFA tu!? Nasema kafa kwasababu hawezi tena kutamba kwa lolote maanake hana security (kauri kama, ningeanza na shangazi zao hawezi tena kuzitamka zaidi tu ya kwenda kupiga magoti kwa huyo aliye ua hao askari wake) Remember Biblia inasema, nguvu ya mfalme ni watu wake, hivi kwa sisi tusio jua kutumia bunduki tunawezaje kua "nguvu ya mfalme?" But again, Kibiblia kuna namna 3 ya mtu kufa! Ya kwanza ni hiki kifo mtu anakufa na tunakwenda kumzika, ya pili ni mtu wa Mungu kumuacha Mungu na kurudia DHAMBI, hicho nacho ni KIFO na aina ya tatu ni hiki, mtu aliyekua MPAGANI (with this case is Pharao) na kumrudia Mungu, huyu nae amekufa, yaani matendo yake ya mwili yamekufa na kule kubatizwa ndio anazikwa na kufufuka na kua mwili mpya. SO bado sijaona tofauti ya Henoko na Biblia (ingawa hicho kitabu sijakisoma)
Vizuri kama unayo elimu ya Qur'an na Biblia.ninayo elimu
Dah unaonekana una sumu nyingi sana hahaaanakuelewa ila kuhusu kudadavua hayo yote nilishaanzishaga nyuzi kuhusu yote uliyoeleza,zitafute humu na debate utaziona
njia yangu ya uwasilishaji ni sahihi ukizingatia sumu walizonazo watu weusi tokea wamezaliwa
my harsh approach inalenga kumtia mtu hasira ili akafanye research na hapo dipo atakapokutana na ukweli
sorry to say kuwa approach hii ndio sahihi kwa wakati huu,time is running out na watu wanatoa zaka kila siku huku taifa likiendelea kuwa masikini
Jamaa kazi kushambulia imani za watu ila hiyo imani yake anaogopa kuiweka hapa kujadiliwa,anakwambia ana elimu ya vitabu vyote hivyo viwili na analeta hoja humu kupitia hivyo vitabu ila ukimuuliza maswali anakwambia uwaulize wenye kuamini hivyo vitabu.Nimemwambia anakurupuka kabisha. Mimi kanibandika ukristo nikamjibu kuwa hiyo si dini yangu. Sasa hivi kahamia kwako
😳Swali la kwanza kukuuliza Ndugu mwandishi,,wewe ni dini gani?? Labda kwa bahati mbaya wewe nawe ni mkristo,,uko dhehebu gani??
hukuwa sincere kwenye uulizaji wakoVizuri kama unayo elimu ya Qur'an na Biblia.
Sasa mbona nilipokuwa nakuuliza maswali kuhusu jua kuzama kwenye sijui bwawa la maji ulikuwa unasema niwaulize waislamu wakati wewe una elimu ya Qur'an?
Ulitaka niulize vphukuwa sincere kwenye uulizaji wako
Vipi kuhusu injili ya barnaba je unaweza kukichukua Kama reference kwako Kama kitabu kilichokataliwa kuingia kwenye biblia ila wewe kikawa na mashiko kwako?Ningeomba Moderator wote wa JamiiForums msihamishe uzi huu kupeleka jukwaa la dini maana message najibu mada ya JF intelligence hivyo ningependa ujumbe uwafikie walengwa, natanguliza shukrani kwa ushirikiano wenu
Cc Paw Invisible
Hicho kitabu cha Gadi kinapatikana wapi mkuu?1.Sasa kama hivyo vitabu ndio Biblia inasema vina historia kamili ya Daudi kwanini tukijengea hoja mnakataa?? Gadi kaongelea mengi ya Daudi ambayo Biblia haiyasemi je kwanini mnapinga hoja zake??
2.Na kama hivyo vitabu ni halali kwanini kwenye biblia haviwekwi??
3.Unaposema Vitabu vilivyowekwa kwa sasa vinasaidia wakristo hivyo vya Gadi havina maana je nkikuuliza kitabu cha wimbo ulio Bora unasaidiaje ukristo wako?? Au kitabu cha Samuel kina tofauti gani na kitabu cha Gadi kiasi mkiache ilihali vinafanana content??
Naomba ujibu kwa mtiririko huu huu
That giant flaming star in the sky does rotate, but moves at a much slower pace than the Earth.shukran sheikh
kuhusu jua kuzunguka itabidi ulete ushahidi zaidi
mengine umezungumzia imani zaidi,meli zinaelea sababu ya buoyancy
kuhusu mbingu kudondoka hapa sikuelewi,kule juu kuna nyota na sayari nyingine nyingi tu,labda nifafanulie maana ya neno mbingu
nitarudikwa maswali mengine,ila nisaidie kwanza hapa
mohamed alipasua mwezi vipande viwili?
kabla ya uislam mohamed alikuwa anaabudu nini
https://www.quora.com/How-authenticThat giant flaming star in the sky does rotate, but moves at a much slower pace than the Earth.
It takes 24 hours for the Earth to make a full rotation, but since the sun isn't a solid object like a planet, its rotation is harder to pinpoint.
Advertisement
"Since the sun is a ball of gas/plasma, it does not have to rotate rigidly like the solid planets and moons do," according to NASA.
In fact, our gaseous sun is divided into different zones and layers, with each of our host star's regions moving at varying speeds. On average, the sun rotates on its axis once every 27 days. However, its equator spins the fastest and takes about 24 days to rotate, while the poles take more than 30 days. The inner parts of the sun also spin faster than the outer layers, according to NASA.
Hiyo hapo riport ya Nasa walipubkish 2010 lakin uguduzi wa hili ukishafika miaka ya nyuma na wamasayans wengi ila ulikuwa bado haujathibishwa laki. Sisi tulifundishwa shule jua limekaa stationary halizunguki...ila Quran inasma jua linazunguka kwemye orbit yake..!
Nikijibu katika hoja yako ya maji kuelea nataka ujue kuwa maumbile yote ya kidunia na mazingira yote anaoyishi mwanadamu na viumbe wengine vipo calulated kisayans wana sayans wanasema dunia hii tunaishi ingesogea Kilomita 10 tu kusogolea jua kusingekuwa na maisha na pia ingesogea km 10 nje ya orbit yake mbali ya jua kusingekuwa na maisha vipimo vyote vya hydrogen na oxgyen vinavyohitajika ili maisha ku exist vipo kwa kiwango ambacho ingezig au kupugua kusingeweza kuwa na maisha kila kitu had Gravity iliyopo yote ni mazigira yaliyoandaliwa ili sisi tuish sababu Mungu alituumba sisi aktupa akili alijua tutatafiti na yeye katufunulia tuyaone ili wewe akiki yako iclick kuwa haya yupo mwenyw kuyapangilia hivi haiwez kuwa kwa coinsdence so na yey anakuwa anaweka refeeence za kisayans ambazo ilikuwa kugundulika kwa mwanadamu wa karne ili wewe akiki yako istuke ndio maana leo uislam unaena kwa kasi america na ulaya sababu wale wame advance kwenye sayansi na ukija ukiowaonesha hiz fact wanashangaa kama zinaweza kuwepo kwenye Quran kitabu kimeandika miaka 1440 iliyopita..!
So meli kuelea ni katika mazingira aliyatayarisha ili binadamu aweze kuyamud so anachokikumbusha yeye hiyo ni katika ishara angelitaka isingekuwa hivyo kuonesha power yake.!
Mbingu ni kila kitu kilichopo nje ya dunia yetu ila dunia yetu ipo cover na layer saba amabazo zinakinga dunia na mwanga wa jua kama hufahamu mwanga wa jua tunao upata sisi ni mwanga salama miale mingi ya jua ina utilized kabla haijafika ndani kwa ajili ya matumiz again hilo linatakiwa ku click akili yako kuwa yipo aliyeandaa hayo na kuweka hizo kinga zote za miala ya jua..!
Muhhamad aliishi katika mila na destruri za Nabii ibrahim za kuamin Mungu mmoja na wala hakuwahi kujihusisha na ibada za masanamu sababu ndio ilikuwa ibada kuu makka na pili kutokana na kutokujihusisha kwake na iman hiz na hakuwa nq makundi hiyo ilimpelekea watu wa makka kumuamin hadvakawa mtunza aman zq watu sababu ta uwaminifu alikuwa nao...na la tatu muhamad Allah alikuwa anamuongoza tangu akiwa mdogo ndio maana alipoenfa kwa yule mfalme aliyukuwa amaweka sanamu mlangoni na ukiingia lazima uiname unalisamilia sanamu lakin lakin muhamad akiwa na miaka 12 alipofika sanamu likadondoka chin ndio akapita na yuke mfalme akaawaambia wale ndungu zake wakubwa kuwa huyu ndio kiongozi wenu wa msafara...na pia kuna mchungaji aliitwa bahira aimuambia babu yake mtunze sana na umlinde huyu kijana atakuwa ni mtume huyu sababu ishara zake walizokuwa wanaziona watu kwake.!
Ishmael is not the Father of MuhammadThat giant flaming star in the sky does rotate, but moves at a much slower pace than the Earth.

nimeyaona maelezo yako kuhusu kuzunguka kwa jua na source uliyoweka,nitajaribu kwenda kuconfirm sababu sijawahi kujua kuwa jua linazungukaThat giant flaming star in the sky does rotate, but moves at a much slower pace than the Earth.

Hivi hicho kitabu kilishushwa eeeeh?Bismillah Raham rahim