Hicho kitabu kilichokamilika mbona kina mapungufu mengi sana ya kihistoria,kimahesabu na kisayansi?Watu wakitaka kukihoji unatoa lugha za kihuni kwamba usishupalie shingo kwa sababu za dini yako wakati wewe mwenyewe unabase kwenye dini yako.Uhifadhi wa Quran kama unavyodai ulikuwa ndani ya mioyo ya watu basi kusingetokea michanganyiko ya kisarafi na muingiliano wa lugha na maneno hata yasizokuwa ya kiarabu.
Unapotaka kutuaminisha kupitia kwa reference ya wazungu kuwa Muhammad ni kiumbe bora duniani bado mimi nashangaa kwa sababu wazungu hao hao Wanaponda kwa utafiti discrepancies nyingi zilizo kwenye hicho kitabu pamoja na kuandikwa karne saba baada ya Yesu ambako kulitakiwa kuwa kuna changea katika techonology na hata namna ya utunzi wa mashairi.Ukamilifu wa hicho kitabu uko kwa walioshupaza shingo na kuamini ndota ya mtu aliyekwenda Al aqsa,kuamini kuwa sperms zinatoka mgongoni na kwenye mbavu,kuamini kuwa Mariam mamake Yesu ni binti ya Aron,kuamini kuwa Aron ni msamaria?Kuamini kuwa Abraham.na Ishmael waliishi Macca na walijenga Kaaba,kutaka kutuaminisha kuwa Ishmael ndo alitolewa sadaka ilhali hakuwa mtoto wa Agano na zaidi ya yote kuuaminisha ummah kuwa Ishmael ni baba wa Waarabu ilhali aliishi katika kipindi ambacho waarabu walikuwepo tayari.
Hata mimi niliwahi kuingia katika mtego huo wa kuamini kuwa Quran imeshushwa lakini baada ya kupata ukweli na kuona mapungufu nikaamua kugeuka.
Sasa wewe ambaye unasema umechimba sana dini nne,naamini katika uchimbaji wako umeona tofauti ya mbingu ya Muhammad,Budha,Judaism pamoja na Christianity.Mbingu inayoongelea pleasures za kidunia za Kubikiri wanawake 72 vs mbingu inayoongelea uzima wa milele wa kumsifu na kumtukuza Mungu bila kuoa wala kuolewa,hujaona mashaka bado?Mkibanwa sana kuhusu taurat na mpangilio wake wa kihistoria na ukamilifu wake mnasema ilikuwa fabricated lakini hamtupi evidence ya hiyo fabrication.Naomba unieleze leo,Mayahudi walikuwa na sababu gani ya kufabricate kitabu chao ilhali hapakuwa na ukristo na uislam wala imani yeyote iliyopingana nao kabla ya Muhammad?
Narecommend usome kitabu cha The prophet of doom
Wewe ni mmoja ya brain washed kama nilivyomuambia mwenzio siwalaumu sababu watu waliwandaa msije kuwa waislam so walijua njia pekee ni kuwaleza yasikuwa ya maana ili uone haina haja ya kuwa muislam nafahm ipo mitalaa kwa ajili ya ku kuupinga usilam dunian kote na watu wanakuwa trained ntakupa mfano a mtizamo tofauti na wewe utakuwa umewahi kuisikia baadh kuna wakrsto mashahid wa yehova wanafundishwa Muhamad alitokewa na jini pangoni ndio likamfundisha Quran na mkwe wake ndio mganga ndio alimpandisha jin so nwansema muhhamad alikuwa akitaka kuisoma Quran anapandisha jin kwanza na hivyo dini hii ni ya majin na nguvu za giza,mtazamo wa pili huu unasema muhamad alikiwa mafia sana alindaa jeshi akatunga kitabu chake kwa ku copy ma ku paste bible na akasambaza dini yake kwa upanga, mtazamo wa tatu ni kuwa uislam umeanzishwa na Kanisa la Roma kama mpinga Kristo ili ukristo usienee na kazi hiyo alipewa muhhamad na wa roma,pia kuna mtazamo kua muhammhad alikuja kwa ajili ya waarabu tu...sasa hii ni mtazamo ya makanisa mbali mbali juu ya uislam kila mmoja anatunga yake na ni kwasababu mmfata njia za mayahahud sababu mayahud walisema hawakubali mtume mwigine baada ya Mussa ndio maana wkaamkataa Yesu na muhammad nanyi mkasema hatubali mtume mwigine baada ya Yesu hata ukisoma vitabu vya kiyahud vimemuandika vibaya sana Yesu na Muhammad haswa Yesu lakin Quran imewakubali Mitume wote walitumwa na Mungu
Nikiangalia hoja zako naweza kuotea ni mutoka madhehebu ya kisabato ndio wana mitaala ya aina hii au pentekoste ndio wanamitaala ya aina hii..
Safari ya miraji ya kwenda Aqsa na mbingun tangu muhammad yupo Dunian wapo waliosema ni muongo na aliota japo alisema kitu ambacho sayans ya leo imethibitisha kuwa nje ya dunia kuna kelel zinafujo sana na vitu vingina vina move kwa fujo sana shirika la amerika walifanya utafiki kwa.kutengeneza kifaa kinachoweza kusikiliza sauti za chini ambazo wanadamu hatuwez kuzisikia na wakaja ni riport iliyosema our universe is not silence sababu iliaminika hukk siku za nyuma ni ngumu kusikia sauti ukiwa nje ya dunia zaid ya movement za objects zilizopo...lakin baada ya kuweka kifaa hicho walizisikia sauti ambayo nayo walisema ni ya kukera na ina fujo. Ikathibitisha aliyosema ika inabaki ni jambo la iman tu kama huamina hata uambiwe nini.!
Una hoja nyingi dhaifu Quran imesema mariamu ni mtoto wa mzee Imran sio Aron na ametajwa kuwa yeye ni ndugu wa Aron au harun sasa sio aron unamjua wewe ndio atakuwa anazengumziwa kwa Quran bible haijandika historia ya mama wa Yesu na wakrristo wengi hawajui hata babu yesu ni nani lakkn Quran si tu imetaja pia kuna sura nzima imeitwa jina la babu yake Yesu mzee imran.
Huwa nashangaa nukiwauliza hivi mnadhan waislam wangekuwa wanashinda kama Quran ingesema aliyetakiwa kutoleaa sadaka ni Isihaka na sio ismail kama ndani ya Quran kuna sura nzima ya mama Yesu na hakuna sura ya mama wa muhamad,wala mkewe,wala binti yake ndio sura pekee ya jina la mwanamke na pia kuna aya inasema "hakika maryam mama wa Yesu ni mwanamke bora kuliko wanawake wote" hivi inakuangia akili muhammad muarabu anawaambia waarabu kuwa mwanmke wa kiyahud ni mwanamke bora kuliko wanawake wote kuliko mama zao kuliko wake zao kuliko mabint zao....nikiwauliza kuhusu mtoto ismail mnasema ismail alizaliwa nje ya ndoa nawaukiza nani alifugisha ndoa ya ibrahim na mkewe?? Isack tukio la kutolewa sadaka likifanyika wapi? Unajua ndoa zama za ibrahim zilifingwa kwa mtindo gani had useme ismali alizaliwa nje ya ndoa? Nani alikiwa mtoto wa pekee kabla ya isack.!
Hilo la uzazi ntakupa mjibu ya kitaalum kama lugha inapanda utaelewaa ila kifupi kaa ukijua sperms asilima 95 process yake haifanyiki kwenye tests inafanyika nje na Quran haijasema sperm imesema maji maji yakiwa hawajakamilka na pia organ zetu za uzazi kabla hujazaliwa ukiwa tumboni miezi ya mwanzo inakuwa located kwenye uti wa mgongo na baadae zinashuka so Quran imeelezea mambo yote mawili kwa pamoja...isome hii ripot ya kitaalam sababu suala hilo limeulizwa dunia nzima sababu ni suala lilipotoshwa kwa makusudi au kutokuelewa
What Qur’an Says
[76:3] We have created man from a mingled sperm-drop that We might try him; so We made him hearing, seeing.
[86:6] So let man consider from what he is created.
[86:7] He is created from a gushing fluid,
[86:8] Which issues forth from between the loins and the breast-bones.
[86:9] Surely, He has the power to bring him back to life
EXPLANATION
The allegation is based on false premises that the Qur’an talks about semen coming out of the area between backbone and ribs.
DID THE QUR’AN USE THE WORD “SEMEN”? NOT AT ALL.
The Qur’an used the words, “Khuliqa minm Maain Daafiq”, that was translated by Sir Zafrullah Khan as, “created from a fluid poured forth” and by Maulvi Sher Ali as, “created from a gushing fluid”. These four words mean the ejaculate, which consists of 2-5% sperms and 95-98% other ingredients. Therefore only 2-5 % of the fluid is produced in testes. The majority of the other ingredients, including prostaglandins, Zinc, lipids, steroid hormones, enzymes, amino acids and minerals, are produced and stored in the seminal vesicles, and prostate glands, both of which are located away from the the backbone (not even close enough to the ribs) and in the pelvis area closer to the sexual organs.
DID THE QUR’AN USE THE WORD “KIDNEY”? NO.
Furthermore, we should try to discover what is that present in between the backbone and the ribs that causes the seminal fluid to be issued or expelled. In order to understand this verse, we must recollect the anatomy and the physiology of the spinal cord, vertebral column, and the autonomic nervous system. Briefly, without going into biological and physiological details, the reflex centres in the spinal cord begin to send nerve signals or emit rhythmic sympathetic impulses that leave the cord at lumbar segments L1, L2 and pass to the genitalia. Next, the last wave of reflex nervous mechanism takes place. Rhythmic parasympathetic impulses from the sacral segment S1, S2 leave the cord resulting in the expulsion or ejaculation or forcing out the “gushing fluid”.
The spinal cord ends at the level between first and second lumbar vertebrae. The spinal segments, L1, L2 and S1, S2 are enclosed within the first and second lumbar vertebrae, which are below the thoracic ones where the ribs meet the backbone. Thus we have seen that the nerve signals to expel the ejaculate or the “gushing fluid” is issued from the lumbar and sacral segments of the spinal cord, which lie below the level of the 12th ribs on either side and above L3 vertebra or “between the backbone and the ribs,” as the Qur’an says.
SUMMARY
Briefly, the Holy Qur’an is absolutely right in using the above words literally and scientifically too. All knowledge is in the Qur’an but some intellects are the one who fail to grasp it. The above mentioned physiological mechanism of ejaculation of the fluid and how the nerve impulses are discharged from the lumbar and sacral segments of the spinal cord that lie within the first two lumbar vertebrae, which are below the 12th ribs and above the remaining lumbar and sacral vertebrae, the backbone. Is there any doubt what the Qur’an uniquely summarizes it, the nerve impulses are discharged “between the backbone and the ribs”?
Mwisho wa siku ni iman na Allahm amesema "hatumuhukumu yoyote ile yule tu tuliemfikisha ujumbe," na ahad ya Mungu ni ya kweli kama iman yako inakumbia maisha baaya ya kufa ni kwenda kuimba mampambio tu na kusifu hakina kuoa wala kuolewa bado hanmna ushahid wa kisayansi wa juu ya pepo na nini kipo huko..!
Ila uislam unasema yote hayo yatakuwepo kwa pamoja maisha yataendela ila hakuna kufa na sion mantiki ya utamu wa dunia hii niende nikake kama mtawa mbinguni starehe za duni ni kionjo na utafika kule tu kama utamtumukia na kumsifu Mungu hapa duniani..!
"Waionye wote wanaozikataa ishara zetu tutawatumbukiza kwenye moto wa jehanam na watalia kuomba msamaha na malaika watauwauliza je hakuwajia mounyaji?"
Nahitimisha jifunze kujua sio kubishana.!..itakusaidia