Mamzalendo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 1,670
- 558
Mh hii siwezi labda marejesho aendelee na filipo,
Mkuu, Facilitator how far sure are you ninapoandika maneno haya siko ndani ya ndoa?
unasema?Safi sasa!.hawa bila ya kuwakong`oli heshima hamna.
True. Sasa hivi wanandoa ni kama housemates tu.
iugomvi ulikuwa msg iliyoingia kwenye simu ya mwanaume...
i
Bahati mbaya nilikuwepo hapo na nilishuhudia yalivyonkatokea. Hata hivyo sisemi sababu gani wanatwanganiana. Ila tu nilitaka kumpongeza huyo mbaba sio kwa kudundana ila kwa kuishi na mwanamama wa aina hii. nina uhakika nikikaa na mama wa aina hii mwezi mmoja tu, mkanipime maradhi yeyote mtanikuta nayo yaani presha, kisugar,stomach wound sorry ulcers and alike.
kwenye nyekundu hujaeleweka,Sehemu nyingine duniani mwanamme anaepigana na mwanamke ni wussy. Wapita njia wanamdaka wanamnyuka. Lakini Tanzania ndio kwanza bado tunatoka toka kwenye u-Zinjanthropus, watu wanaona ni poa tu, hatuna karne nyingi sana tokea tutoke kwenye mapango na hatujabadilika sana kiuelewa.
Sehemu nyingine duniani mwanamme anaepigana na mwanamke ni wussy. Wapita njia wanamdaka wanamnyuka. Lakini Tanzania ndio kwanza bado tunatoka toka kwenye u-Zinjanthropus, watu wanaona ni poa tu, hatuna karne nyingi sana tokea tutoke kwenye mapango na hatujabadilika sana kiuelewa.
kwa wakurya na watu wa Musoma, ngumi ndio umoto wenyewe wa mapenzi
What did u think might be the cause of the fight?
Safi sasa!.hawa bila ya kuwakong`oli heshima hamna.
Sasa kama ulikuwepo na ulishuhudia mpaka sababu ya ugomvi ulikuja kwetu kutuuliza ili tusemeje wakati hatukuwepo,si ungetuambia tu kisa cha ugomvi wao ili nasi tuepuke wanamama wa aina hiyo kama wewe ulivyoona....