Bibi na Bwana wanatwangana nje ya Shoprite | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bibi na Bwana wanatwangana nje ya Shoprite

Discussion in 'Jamii Photos' started by MaxShimba, Oct 9, 2012.

 1. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #1
  Oct 9, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  What did u think might be the cause of the fight?
   
 2. Root

  Root JF-Expert Member

  #2
  Oct 9, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,216
  Likes Received: 12,930
  Trophy Points: 280
  Ahhaha nani kafumaniwa
  Ila vizuri kama ww ukituambia

  Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
   
 3. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #3
  Oct 9, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,017
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  aibu yao wote....
   
 4. Jeji

  Jeji JF-Expert Member

  #4
  Oct 9, 2012
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  kuji dhalilisha tu.
   
 5. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #5
  Oct 9, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  ukosefu wa jando na unyago una madhara kwa jamii yetu.
   
 6. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #6
  Oct 9, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,139
  Trophy Points: 280
  kwa wakurya na watu wa Musoma, ngumi ndio umoto wenyewe wa mapenzi
   
 7. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #7
  Oct 9, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 842
  Trophy Points: 280
  Wameshindwa hata kuhifadhi hasira zao hadi nyumbani..?
   
 8. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #8
  Oct 9, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Kwa hiyo inawezekana wanaonyeshana mahaba hivyo!!?
   
 9. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #9
  Oct 9, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  jamaa anafanya kazi nssf nini??maana hayo matisheti mmmmh ya NSSF
   
 10. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #10
  Oct 9, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Hapa mwanamke ndiyo chanzo.
  Kwa hisia zangu mama huyo hajaridhika na manunuzi waliyofanya na mumewe, anataka zaidi ya uwezo wao, matokeo amedharau kwa kukataa hata kubeba mizigo. mume ameona bora lawama kuliko fedheha.
   
 11. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #11
  Oct 9, 2012
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  Hapo tatizo inaonekana liko kwa mwanamke, kwanza mavazi aliyovaa ni rahisi mno kutongozwa na jemba nyingine kwani kaanika mapaja na ******, sasa braza atakuwa ameona wanaume wako wanampapasia kwenye makalio ya mke wake na mke katulia braza akaona wapi uwezo wake ni kumpiga mke wake na siyo wapapsaji. Shame on you all mnaowaachia wake zetu kutoka uchi uchi mitaani mkidanganywa zaidi na shetani kuwa "baby umependeza" yaani wewe braza unakuwa zumbukuku kwa kuruhusu mkeo aanike hifadhi yako. Acheni maisha ya kuiga kwenye Tv
   
 12. b

  bdo JF-Expert Member

  #12
  Oct 9, 2012
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,711
  Likes Received: 1,611
  Trophy Points: 280
  mmmh, labda hawakuachiana hela ya matumizi halafu wamejikuta kila mtu anatumia kivyake
   
 13. b

  bdo JF-Expert Member

  #13
  Oct 9, 2012
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,711
  Likes Received: 1,611
  Trophy Points: 280
  labda ni wakurya wa kwenu na watu wa Musoma ipi hiyo? they are not behaving this way
   
 14. Mwanahisa

  Mwanahisa JF-Expert Member

  #14
  Oct 9, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 1,397
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  A man throwing his hand as a means of judgement to a woman, proves a weakness inside....!
   
 15. sosoliso

  sosoliso JF-Expert Member

  #15
  Oct 9, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 7,519
  Likes Received: 1,857
  Trophy Points: 280
  Mama kambamba mumewe anapewa namba ya cim na mfanyakazi wa kike wa Shoprite.. Aka-snap..
   
 16. AKILImuchknow

  AKILImuchknow JF-Expert Member

  #16
  Oct 9, 2012
  Joined: Sep 3, 2012
  Messages: 216
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Safi sasa!.hawa bila ya kuwakong`oli heshima hamna.
   
 17. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #17
  Oct 9, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  You'll realize the validity of your statement utakapooa/olewa.
   
 18. r

  ral Senior Member

  #18
  Oct 9, 2012
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 126
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mie nahisi mmoja alimkuta mwenzie akiwa na nyumba ndogo shopping(could be man or woman)
   
 19. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #19
  Oct 9, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  True. Sasa hivi wanandoa ni kama housemates tu.

   
 20. Mwanahisa

  Mwanahisa JF-Expert Member

  #20
  Oct 9, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 1,397
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mkuu, Facilitator how far sure are you ninapoandika maneno haya siko ndani ya ndoa?
   
Loading...