Biashara ya Stationery: Ushauri, Vifaa, Gharama na Mbinu za Uendeshaji

Kama una Wino wa Printer, Toner kwa ajili ya Photocopy na Rim Paper ungeweza kuanza vingine vitapatikana kadri biashara inavyokuwa, Mungu akusaidie.
 
Nimejaribu kupitia mawazo ya watu mbalimbali kuhusu biashara ya stationery, nimegundua kuelekezana na kukosoana ni jambao la msingi sana kwenye maisha, binafsi napenda kujifunza kile nisichokijua kwa wale walionitangulia katika jambo husika. Nitoe shukrani zangu za dhati kwa wale wote walioshiriki kutoa kile walichonacho bila hiyana, Mwenyezi Mungu akawafanye kuwa na Wingi wa Maarifa. Amen
 
Mkuu kwema? Waweza nipa mrejesho? Nipo tanga pia. Nishapata location nzuri. Nina hope niianze hii biashara
Hii thread ni nzuri ikiwa utapata feedback kwa walionza biashara hiyo.

Mimi binafsi bado nina nia ya kuanzisha biashara hii na kilichonivutia zaidi ni kuwa nilikuwa nanunua vifaa vya ofisi pale Pran Pen Corner kwa kweli jamaa wanauza vitu in very reasonable price na kwa kuwa sasa nimehamia Tanga kimaisha ndio imenijia Idea hii ya kutaka kufungua biashara hii na kuwaweka wao kama main supplier wa vitu vingi vya stationery.

Mtaji bado unasumbua na kama nitapata feedback nzuri itanosaidia sana na nitapata mawazo mazuri zaidi jinsi ya ku approach biashara hii.

Tunasubiri michango yenu wana JF
 
Utaweza sana anza na ulichonacho. Hii biashara niliifanya kwa miaka 3 nlipoaiacha nikampa mtu ikafa ina faida sana kama location iko saf.
Unanunua kitu kkoo kwa 300 unauza kwa buku
Japo imepita miaka kadhaa, unaweza kunupa machimbo ya bidhaa za stationery kariakoo?
 
Naomba kujua Epson printer nzur kwa matumiz ya stationery ambayo pia naweza ku refill wino ukiisha...
 
Mimi nahitaji velo binding machine used
images%20(3).jpg

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom