Biashara ya Stationery: Ushauri, Vifaa, Gharama na Mbinu za Uendeshaji

Anza na ulichonacho usikate tamaa
 
Attachments

  • Mwongozo-wa-Kuanzisha-Biashara-ya-Stationery.pdf
    2 MB · Views: 73
  • 20201021_192747.jpg
    20201021_192747.jpg
    47.6 KB · Views: 61
Mkuu; Location yako ni wapi? Tuanzie hapo.
Kwa mtaji wako inawezekana kabisa. Kuwa na imani.
 
Unatosha kuanzia. Usimkatishe tamaaa. Anaweza kuanza kwa kununua madaftari/makaunterbooks, kalamu, mabunda ya karatasi, chaki na vifaa vingine vidogo vidogo wakati anajipanga kununua machine mbalimbali hata used. Kinachofanya biashara sio mtaji bali ni determination na guts to start a first step.
Hujui ulisemalo
 
Hujui ulisemalo
Endelea na mawazo yako ya kusubiri mtaji. Watu walionza from zero wanafahamu kwa experience zao. Anyway kukubali kutokukubaliana Ndio msingi wa maendeleo. Mungu akubariki wewe na uzao wako.
 
Habari za muda huu wakuu,

Naomba kuuliza kuhusu mtaji ambao utaniwezesha kufungua stationery. Pia anayefahamu gharama za photocopying machine, printer ya rangi, binder, desktop ndogo inayoweza kazi za stationery, na vitu vinginevyo ambavyo unanishauri.

Karibuni kwa ushauri.
 
3.5/ 4 ML
 
Photocopy machine inayogeuza page yenyewe andaa angalau milioni 2, ambayo haigeuzi itakubudi wewe ndio uwe unageuza andaa milioni 1.5, Nunua photocopy zikizotengenezwa na canon, endapo utanunua used basi hakikisha unaenda na fundi kuicheki maana nyingi zinakuwa zimechoka

lamination ni laki 1

Deaktop full set ni laki 3

Printer na scanner unaweza kutumia photocopy machine hio hio ila kama utahitaji basi nununua printer aina ya epson l382 inauzwa 380,000 hadi 420,000 kulingana na utaponunua, inaprint rangi na hata picha za passport size na za kawaida, inatoa copy elf 5 za rangi na elf 7 kwa black and white, wino wake ni elf 3 tu kariakoo na mikoani ni elf 5.
 
Ahsante sana
 
Jamani nivitu gani vya mhimu vinavyotakiwa kuzingatiwa wakati mtu anapokuwa akihitaji kufungua stationary iliyokamilika na inahitajika garama kiasi gani kuifungua? Naombeni msaada jamani
 
Wakuu habari zenu,

Kama kichwa kinavyosema Hapo juu Nina Printer, photocopy machine na Computer .Na nimejichanga nimepata pesa kiasi cha Laki sita(600,000/=) . Kwa mtaji huo naweza kufunguA au bado nahitajika kuongeza mtaji?

Kwa wazoefu naomba pia mnipe changamoto zake.

Nawasilisha
 
Wakuu habari zenu,

Kama kichwa kinavyosema Hapo juu Nina Printer, photocopy machine na Computer .Na nimejichanga nimepata pesa kiasi cha Laki sita(600,000/=) .kwa mtaji huo naweza kufungu au bado nahitajika kuongeza mtaji?
Kwa wazoefu naomba pia mnipe changamoto zake.
Nawasilisha
Unatosha kabisa ndugu nunua vitu muhimu tu vilivyobaki nyingine lipa Kodi ya frem rahisi Kisha utakuza mtaji taratibu
 
Wakuu habari zenu,

Kama kichwa kinavyosema Hapo juu Nina Printer, photocopy machine na Computer .Na nimejichanga nimepata pesa kiasi cha Laki sita(600,000/=) .kwa mtaji huo naweza kufungu au bado nahitajika kuongeza mtaji?
Kwa wazoefu naomba pia mnipe changamoto zake.
Nawasilisha
Mkuu! kwangu mimi naona kama itakuwa haitoshi kidogo.

Maana kuna vitu kadhaa kma Laminator ujaweka haya mazaga zaga ya kuuza, kikabati cha kuwekea bidhaa (daftari,peni,rula, markerpen,compass) kiti na meza n.k

Lakini kama frem umeshalipia kwa hiyo kiasi kilichobakia unaweza anza kibishi ubishi.
 
Back
Top Bottom