Biashara ya samaki

Wakuu naomba niirudishe hii thread tena.

Naomba mlio na experience mnisaidie info za vipi samaki aina ya sato na sangara wanapatikana kwa dar (kwa jumla) ili kuanza kuwauza kwa reja reja.

I mean mmiliki wa bucha hupata vipi samaki aina hiyo kwa ajili ya kuwauza?

mkuu King Kong III NA WADAU WENGINE PLEASE.
 
Wakuu naomba niirudishe hii thread tena.
naomba mlio na experience mnisaidie info za vipi samaki aina ya sato na sangara wanapatikana kwa dar (kwa jumla) ili kuanza kuwauza kwa reja reja.
i mean mmiliki wa bucha hupata vipi samaki aina hiyo kwa ajili ya kuwauza?
mkuu King Kong III NA WADAU WENGINE PLEASE...

Nipo kwenye mchakato wa kukodi mtumbwi/boat kuvulia samaki baada ya mda nitengeneze wangu well hela ya kutengeneza ninayo but nataka nikodi kwanza ili npate kujuq market zaidi so twaweza share.
 
Wakuu naomba niirudishe hii thread tena.
naomba mlio na experience mnisaidie info za vipi samaki aina ya sato na sangara wanapatikana kwa dar (kwa jumla) ili kuanza kuwauza kwa reja reja.
i mean mmiliki wa bucha hupata vipi samaki aina hiyo kwa ajili ya kuwauza?
mkuu King Kong III NA WADAU WENGINE PLEASE...
Ndibalema bado wahitaji supplier wa samaki?
 
Last edited by a moderator:
Nipo kwenye mchakato wa kukodi mtumbwi/boat kuvulia samaki baada ya mda nitengeneze wangu well hela ya kutengeneza ninayo but nataka nikodi kwanza ili npate kujuq market zaidi so twaweza share
Ukishakamilisha hilo zoezi naomba uni'update ndugu ili tufanye biashara.
 
Tafuta contact na mtu aliye mwanza anakua anakutumia kwa ndege kila siku.
 
Tafuta contact na mtu aliye mwanza anakua anakutumia kwa ndege kila siku.

Ok tuanzie hapa ndoo moja samaki wanasafirisha sh ngapi?

Ile ya 20 lts au wanatumia kipimo gani kusafirisha samaki kwa ndege?
 
Mkuu King Kong III, asante sana kwa mchanganuo wako.

Hakika nikihitimu tu haka kadegree kangu najiajiri kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Kwa anaehitaji sato na sangara. Naweza nkakutumia mzigo kila siku unapokea airport. Kwa alyeteyari anijulshe, nipo mwanza.
 
Nilikuwa natafta busness partner wa hyo biashara ila kam una bucha au hoteli 2kiongea naweza nkawa nakutumia mzigo, nipo chuo cha SAUT apa.
 
Back
Top Bottom