Mkuu katika uanzishaji wa biashara kuna vitu vi3 vya msingi unatakiwa kuvijua au kuwa navyo
1.Capital
2.Market
3.Knowledge
Capital ya kuanzisha Bucha/Samaki unahitaji kuwa na Fremu ya kisasa yenye A/C,Mashine ya Kukata Nyama(Unaweza kununua sido) hapo Vifaa A/C+Mashine+Fremu(kodi 6months) unahitaji si chini ya 1.2m,Mtaji wa kilo 500 nyama sh 2.3m,mtaji wa samaki kilo 100,Sh 500,000/=,Deepfreezer kubwa 400,000/=,Stand za vyuma pamoja na Hooks 100,000/=,Grand Total~4.5m
=========
=========
Market,inabidi butcher lako litageti soko la mama ntilie/wauza chips na makazi ya watu,mama ntilie ndio wanunuaji wakubwa wa nyama kwani wanapika Supu na pili mboga kwa wateja,wauza chips stake wanatengenezea mshikaki!
=========
=========
Knowledge,Mkuu hapa inabidi uwe unaamka saa 3 kwenda kufata nyama au uwe unaagiza kwenye vigari vile special kwa ajili ya kubebea nyama,saa kumi na 1 alfajiri uwe upo buchani unaanza kuuza,uhifadhi wa samaki na nyama inayolala unabidi uhuzingatie,Nyama kilo moja ni kuanzia 6000 hadi 7000 na samaki sato kilo 8000 hadi 9000 wakati sangala 7000 hadi 8000.
Kazi ni kwako mkuu.
Nipo mbeya mkuu. Kwani inahitaji kinunua ng'ombe wengi?Kwa mazingira ya sasa ni kati ya biashara zenye changamoto na hasa kama huna capital ya kutosha kuweza kununua ng'ombe wengi wakati wakiwa na bei ndogo kwa lengo la kuwachinja wakati wa kipindi cha Julai-Januari. Otherwise ni biashara nzuri na ukipata wafanyakazi wazuri. Uko mkoa gani?
Mkuu katika uanzishaji wa biashara kuna vitu vi3 vya msingi unatakiwa kuvijua au kuwa navyo
1.Capital
2.Market
3.Knowledge
Capital ya kuanzisha Bucha/Samaki unahitaji kuwa na Fremu ya kisasa yenye A/C,Mashine ya Kukata Nyama(Unaweza kununua sido) hapo Vifaa A/C+Mashine+Fremu(kodi 6months) unahitaji si chini ya 1.2m,Mtaji wa kilo 500 nyama sh 2.3m,mtaji wa samaki kilo 100,Sh 500,000/=,Deepfreezer kubwa 400,000/=,Stand za vyuma pamoja na Hooks 100,000/=,Grand Total~4.5m
=========
=========
Market,inabidi butcher lako litageti soko la mama ntilie/wauza chips na makazi ya watu,mama ntilie ndio wanunuaji wakubwa wa nyama kwani wanapika Supu na pili mboga kwa wateja,wauza chips stake wanatengenezea mshikaki!
=========
=========
Knowledge,Mkuu hapa inabidi uwe unaamka saa 3 kwenda kufata nyama au uwe unaagiza kwenye vigari vile special kwa ajili ya kubebea nyama,saa kumi na 1 alfajiri uwe upo buchani unaanza kuuza,uhifadhi wa samaki na nyama inayolala unabidi uhuzingatie,Nyama kilo moja ni kuanzia 6000 hadi 7000 na samaki sato kilo 8000 hadi 9000 wakati sangala 7000 hadi 8000.
Kazi ni kwako mkuu.
Duh,King Kong ukiangalia sura yake hudhani kama ni Kichwa namna hii.
Maana sura imekaa kikabaji,ila maujuzi kama Proffessor.
Inabidi humu JF watu tuwe waungwana,kama kuna mtu anatoa mawazo kama hayo bila kukuambia njoo chamber sijui nikupe Bussiness plan au utapeli Plan lazima tuwafikirie.
Mtu kama Kingkiong na wengine wamekuwa wakitoa mawazo na uchambuzi wa hali ya juu sana na wakina mno,maana unaweza kukuta hata mtu anaefanya hiyo biashara hana Knowledge ya kutosha.Na hata yule ambae hana wazo la biashara hiyo unakuta mara ameibuka na kuchukua wazo jipya kutokana na uchambuzi mzuri.
Ningeomba basi wale wanaofanikiwa au kupata mawazo kwa watu waliosaida wao kufanikiwa basi ningeomba angalau Mtu uwakumbuke kwa namna moja au nyingine.Sio ukipata kimyaaa mambo yakiishaanza kwenda Mrama ndio unarudi tena kuomba ushauri,sio uungwana na mungu anakuona kwamba huna shukrani.
Mie kuna jamaa humu ameshuka mada ya Ujenzi wa Nyumba kwa Dar kwa budgey ya 15M,nasubiria nimalize nyumba nimuone,na mwingine ni wa Mradi wa Kuku,kuna jamaa alishuka humu utafikiria duniani kuku walianzia kwake.Na Pia nitamtafuta in private.
Big up Kingkong
Thanks mkuu kwa info
Namba gani ya kuwapata hao supplier wa nyama na samaki mkuu?
Mkuu katika uanzishaji wa biashara kuna vitu vi3 vya msingi unatakiwa kuvijua au kuwa navyo
1.Capital
2.Market
3.Knowledge
•Capital ya kuanzisha Bucha/Samaki unahitaji kuwa na Fremu ya kisasa yenye A/C,Mashine ya Kukata Nyama(Unaweza kununua sido) hapo Vifaa A/C+Mashine+Fremu(kodi 6months) unahitaji si chini ya 1.2m,Mtaji wa kilo 500 nyama sh 2.3m,mtaji wa samaki kilo 100,Sh 500,000/=,Deepfreezer kubwa 400,000/=,Stand za vyuma pamoja na Hooks 100,000/=,Grand Total~4.5m
=========
=========
•Market,inabidi butcher lako litageti soko la mama ntilie/wauza chips na makazi ya watu,mama ntilie ndio wanunuaji wakubwa wa nyama kwani wanapika Supu na pili mboga kwa wateja,wauza chips stake wanatengenezea mshikaki!
=========
=========
•Knowledge,Mkuu hapa inabidi uwe unaamka saa 3 kwenda kufata nyama au uwe unaagiza kwenye vigari vile special kwa ajili ya kubebea nyama,saa kumi na 1 alfajiri uwe upo buchani unaanza kuuza,uhifadhi wa samaki na nyama inayolala unabidi uhuzingatie,Nyama kilo moja ni kuanzia 6000 hadi 7000 na samaki sato kilo 8000 hadi 9000 wakati sangala 7000 hadi 8000.
Kazi ni kwako mkuu.
Mkuu katika uanzishaji wa biashara kuna vitu vi3 vya msingi unatakiwa kuvijua au kuwa navyo
1.Capital
2.Market
3.Knowledge
Capital ya kuanzisha Bucha/Samaki unahitaji kuwa na Fremu ya kisasa yenye A/C,Mashine ya Kukata Nyama(Unaweza kununua sido) hapo Vifaa A/C+Mashine+Fremu(kodi 6months) unahitaji si chini ya 1.2m,Mtaji wa kilo 500 nyama sh 2.3m,mtaji wa samaki kilo 100,Sh 500,000/=,Deepfreezer kubwa 400,000/=,Stand za vyuma pamoja na Hooks 100,000/=,Grand Total~4.5m
=========
=========
Market,inabidi butcher lako litageti soko la mama ntilie/wauza chips na makazi ya watu,mama ntilie ndio wanunuaji wakubwa wa nyama kwani wanapika Supu na pili mboga kwa wateja,wauza chips stake wanatengenezea mshikaki!
=========
=========
Knowledge,Mkuu hapa inabidi uwe unaamka saa 3 kwenda kufata nyama au uwe unaagiza kwenye vigari vile special kwa ajili ya kubebea nyama,saa kumi na 1 alfajiri uwe upo buchani unaanza kuuza,uhifadhi wa samaki na nyama inayolala unabidi uhuzingatie,Nyama kilo moja ni kuanzia 6000 hadi 7000 na samaki sato kilo 8000 hadi 9000 wakati sangala 7000 hadi 8000.
Kazi ni kwako mkuu.
This is among the best mchanganuo. King naomba uni pm namba yako nikutafute boss