Nilikuwa Kisiwa cha mafia for a week ,ni shida hakuna wa kununua bhana!inabidi hapo hufanikiwi mpaka ujitegeshe kimpenzimpenzi ,hakuna kuondoa 'genye" hapo
we mafika nilikwenda mwaka uliopita, nifikia pale liz hotel, usiku wa saa nane nikasikia mlango una gongwa nikauchuna, asubuhi namuuliza babu mlinzi eti anasema kunabinti alipatana na jamaa aje chumba nilichokua mm ndo alikua amefika, nilimpiga bit babu asirudie tena kunisumbua, pale wapo tena nasikia hua wanatoka dar baada ya maisha kua magumu, kuna baa moja wanaita contena wahudumu ni haohao.