Mkuu unampango wa kuanzia mkoa gani! Me nipo kwenye hiyo industry kitambo!
Mkuu unampango wa kuanzia mkoa gani! Me nipo kwenye hiyo industry kitambo!
Mkuu unampango wa kuanzia mkoa gani! Me nipo kwenye hiyo industry kitambo!
Jambo lako ni zuri sana hiyo biashara nzuri sana kama utaweza kupata fremu maeneo ya watu wengi hususani kama ni mjini unaweza fanya utafiti wa eneo unalotaka kufungua hiyo biashara yako na ikauzika vilevile ningekushauri uendee kuonana na wenyeviti wa masoko makubwa kwa mfano pale kariakoo dar, morogoro mjini, au sehemu ya magenge makubwa kama kariakoo ukajua bei ya ununuzi ikoje kabla hujaanza kufungua fremu
Vilevile fanya utafiti wa michele mikoani mingine wanauzaje ili uweze kujua faida na hasara (profit and loss)vzake
mwanangu kujiajiri sasa kunalipa kuliko kuajiriwa kwani utatatumikishwa na usione faida yoyote utashangaa kama unapata
800,000/= kwa mwezi inakatwa mpaka inafikia 450,000/= kwa mwezi kwa yale makato ya kodi mbalimbali sasa hapo unapata nini wakati mwenyenyumba anataka chake, maji hujalipa umeme ndo usiseme yaani full makodi makodi tu
GANGAMALA MKUU
Asante sana kwa ushauri, mimi mchele nalima mwenyewe mpunga nalimia Mbeya, hivo nakuwa nauza mchele kutoka Mbeya.
Pia sijakuelewa kuhusu wenyeviti wa masoko..kwamba wao watanisaidia kujua bei za mchele kwa soko husika,hao wenye viti wanakuwa na uzoefu wa kiasi hicho,of course its true unavoniambia nisifungue kwanza duka nifanye survey ya bei kwani nnaweza nikauza kwa jumla moja kwa moja sokoni kuliko kutafuta frame.
Pia nilikuwa naomba kama kuna mtu yyte ana connection na watu wa mashule ya boarding niweze kusupply mchele.
Ninapozungumzia wenyeiviti wa masoko mfano kama pale kariakoo nazungumzia kuhusu kupeleka mchele wako kwao kwani wao wanajua zaidi mambo ya soko lao unaweza ukapeleka pale kwa jumla itakusaidia zaidi kwani utakuwa na ulazima wa kuwa na flemu best
Kuhusu shule boarding huko sina uzoefu nako labda ufanye utafiti mwenyewe kwenda kwenye hizo shule na kufanya mambo marketing maeneo hayo best