Biashara ya Michezo ya Video (Video Games): Jifunze Uendeshaji, Changamoto na Faida Zake

Zinawahi kuzingua. Isipochora mistari itaungua. Tv mpya nikiwa namaaanisha akina aborder, mr.uk na zenye kufanana na hzo. Ila kama unaweza ku afford brand kama samsung, lg, sony bravia toka shop ni poa zaidi. Mtumba kwa kuwa huwa ni cheap na zina quality kali kinyama
Mtumba unaweza chukulia wapi.nipo mza mkuu.
 
Nataka kuanzisha na mie...ila sijaona sehemu mkisema vibali gan vinahitajika ili kukuepusha na usumbufu
 
Kuna sehemu na sehemu.

Baadhi ya sehemu kama niliyopo mimi hawahitaji vibali vyovyote. Wala serikali za mitaa hawasumbui. Ni wewe tu ila cha msingi ni kuzingatia muda wa kazi ili kuepusha malalamiko kutoka kwenye jamii unayoishi nayo.

Maeneo mengi ya namna hiyo ni yale ya mitaani.

Ukipata location za mjini lazima ujiandae na masuala ya vibali n.k.
 
Samahan..unaweza kunifahamisha malalamiko kama yapi kutoka kwenye jamii?
 
Hii michezo Zanzibar ilishapigwa marufuku maana ilikua inasababisha watoto wanaiba pesa majumbani kwao na hata kukataa kusoma kabisa. Kilichobakia ni kila mtu kubaki nyumbani kwake na kuinjoi na marafiki tu.

Eeh bana
 
Mi mwenyewe nilishangaa sana kuona hakuna sehemu za kuchezesha game kule Zanzibar.

Nilitaka kuchukua hiyo nafasi kufungua kule nipige pesa ila mwishoni nikaamua niendelee hapa hapa Dsm.
 
Mdogo wangu anafanya hii biashara Ana TV mbili na PS 4 mbili kwakweli anapiga hela sana siku akiingiza hela mdogo Hadi analalamika ni 15,000/=.ameanza mwaka Jana November kuna kipindi alienda shule akaweka mtu na alikuwa anatumiwa hela zake vizuri tu.Dogo ni mcheza Mpira pia na anajua kucheza hizo PS haikua ngumu kwake kupata wateja maana marafiki zake na team mates ndo walianza kumsupport.
Pia fremu ipo barabarani na inaonekana sana mtu akipita hata kwenye daladala anapaona na anaweza kufika kirahisi.
Haruhusiwi kufungua asubuhi kwa ajili ya wanafunzi huwa anafungua kuanzia saa Saba mchana Hadi saa tano usiku,wikiendi anafungua kuanzia asubuhi.
Alifuata kibali Cha kuchezesha game kwa mwenyekiti wa mtaa akapata so hasumbuliwi sana.
Biashara inaenda vizuri anataka kuongeza screen na PS nyingine moja aweke na vinywaji na bites anawauzia wanaokuja kucheza Ni biashara nzuri sana kwake kwasababu anaipenda na anajua so hakosi hela ya vocha na vitu vingine.
 
Safi sana big up kwake
 
Back
Top Bottom