Chuda Kashara
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 849
- 553
Taratibu zote zimekwishakamilika, yakiwemo maswala ya vibali na leseni.Kwanzia mwezi July mwaka huu bia ya bei nafuu itaingia sokoni kuziba pengo la viroba vilivyokatazwa.
Wajumbe wenzangu nimekuja kwenu nipate mapendekezo yenu, je ungependa tuiteje hii bia?
Wajumbe wenzangu nimekuja kwenu nipate mapendekezo yenu, je ungependa tuiteje hii bia?