Beware when having SEX!

Duuuuuuhhhhhhh Erotica!

Hii ni yangu au kuna mtu unataka nimpelekee??

Personally, nilishasahau kama bado kuna watu wanapewa zawadi tamu tamu kama hii!!

Babu DC!!


aww babu DC, mm na utamu wangu wote huu (sio maneno yangu hayo)

nitoe zawadi chungu? no way! waliokuzunguka waambie waacha uchoyo.

ww ukitaka zawadi siku ingine come this way, hapa ni garantidi.
 
sikujua kama mtoto alikuwepo ndani coz hausi gel aliondoka muda mrefu nikajua kaondoka nae, nkaona hii ndo nafasi pekee, mtoto alilala chumba kingine, kuamka akawa anamtafuta mama ake, sasa akamkuta kakamatwa hajiwezi ikawa balaa tupu,


pole sana, haki ya nani naona lazima biologia ilizimia! teh teh teh.
 
Ngoja ngoja yaumiza matumbo haya wewe. Mi ntakusaidiaje sasa...likizo yako ndio kuongezeka kwa kazi za jirani yako. Au ulikuwa hujui...maana mi sina cha mapumziko.

Ndahani ongea maneno mazuri papito. nibembeleze niione raha....... :mwaaah:
 
aww babu DC, mm na utamu wangu wote huu (sio maneno yangu hayo)

nitoe zawadi chungu? no way! waliokuzunguka waambie waacha uchoyo.

ww ukitaka zawadi siku ingine come this way, hapa ni garantidi.

Sijui sasa wewe Eritica unataka kuelekea wapi huko??

Hivi hata vibogoyo kama Babu DC bado wanaweza kualikwa kwenye party ya nyama choma??

No way....tuache tujipumzikie kwa salama badala ya kujitafutia RIP ya kupasuka aorta kama wale wazee wanaopumzikaga ghafla tena baada 10.30pm!!


Babu DC!!
 
Hafundishwi kiumbe kuhusu hii nature. Uliona wapi kitchen party ya paka?
 
umeona papito? watoto wenyewe wanajaliana, wacha na sie tuwajali.

mie penda hio picha... mwaaaaaah.

milk.jpg

Si unaona na huyu machale yashaanza kumcheza mapemaaa....
 
kirusha roho ni kitu kizuri au kibaya? wawe kama mama yao? hivi umewahi waona?

hio ni picha ya ultra sound niliyopewa clinic ya Mzizi mkavu.

tumblr_loukky4rlk1qed1eao1_500.jpg
Ha ha ha haaaaaaa Erotica wewe ni zaidi ya wote! Yaani picha ya ultra sound inaonesha watoto wameshavaa nguo! Ma pose ya nguvu na unywele wa haja! Halafu tumbo lako ni la aina gani? maana naona kuna hadi msitu na toy! MziziMkavu nielekeze ilipo clinic yako nami nifanye ultra sound huenda natembea na magorofa tumboni!
 
Wadogo huwa ni watundu wanasikia kila kitu in those thin wall of yours,
hapa bahati hawajaona wamesikia. wanajua sex syle ya kokroach death na kuwa
mwanaume anakuwa juu, ila hawajui juu wapi. teh teh teh.

hapa bora tu muwape hili darasa mapemaaaaa https://www.jamiiforums.com/jamii-photos/302710-how-to-explain-sex-to-teenagers-4.html#post4398919

orgasm+jokes.jpg



mwaaaaaaaah! :A S-heart-2:

sasa huyo mtoto wa kike ana mgongo huu-huu wa mifupa au ni kijsanamu, na huyo wa juu balance katoa wapi??

duh
 
Back
Top Bottom