Beware when having SEX!

yaani nimecheka hadi basi lol

wanasubiri organism iwatokee??

Ha ha ha ha ha ha, jamani, me love Erotica.
 
Last edited by a moderator:
Nashukuru sana Erotica kwa roho yako nzuri ya kutaka kuwapunguzia tension hata wale tuliopitwa na wakati!!

Ila naomba nikujulishe tu kuwa hata kwa kutumia caterpillar kwako siwezi kuja....Najipenda mie!!

Babu DC!!

Babu DC, hii habari nifurahi ama nisikitike? nina kasoro

gan mie hadi kwa kiwezesha caterpillar usiniweze? :A S cry:
 
Babu DC, hii habari nifurahi ama nisikitike? nina kasoro

gan mie hadi kwa kiwezesha caterpillar usiniweze? :A S cry:

Siyo wewe Erotica,

Ni mie mwenzio ambaye nimechakaa kiasi kwamba siamini kama ninamuweza mtu kama Erotica anayekimbia speed ya Usain Bolt...

images
 
Last edited by a moderator:
Siyo wewe Erotica,

Ni mie mwenzio ambaye nimechakaa kiasi kwamba siamini kama ninamuweza mtu kama Erotica anayekimbia speed ya Usain Bolt...

images

Babu DC wewe sio mtaalam wa hadithi? kwani hatuwezi keti na

kusimuliana hadidhi za kuwasimulia pachaz wakizaliwa?

sio lazima tu du, tunaweza keti chini na tuka chill tu! mwaaaaah!
 
Back
Top Bottom