Erotica baby, nimecheka mno.................. maongezi tunayoyafanyaga chumbani kumbe hayafai........... tunadhani watoto wapo busy na Ben10 kumbe masikio yapo rum
Naomba mimi nikuletee KITAWA.. au mlaso.
Babu DC wewe sio mtaalam wa hadithi? kwani hatuwezi keti na
kusimuliana hadidhi za kuwasimulia pachaz wakizaliwa?
sio lazima tu du, tunaweza keti chini na tuka chill tu! mwaaaaah!
usijipime na Errotica hata kidogo.
Kufikiria tu, kunatosha kukuvunja mgongo, na wajukuu bado wanakuhitaji.
Mie nilicheka hadi basi.
Wewe Erotica wewe....Hata vibogoyo nao wanaipenda nyama na kuitamani....!!
Hivi ulisoma huu uzi wa BAK??
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/303972-can-women-and-men-be-friends.html
Babu DC!!
usininyime hapo hicho kitawa coz I like it!