Asee kama sio kulinda heshima ya watu ningekutajia waliotapeliwa kwa majina yao.
Preta nimeweka hapa ili kukuepusha na utapeli. kwa bahati mbaya au nzuri ni mke wa mtu sasa. Hayo ni ya 2013 nimeweka hapa kwa kuwa bado anaendelea na utapeli.
Usijudge kama huna uhakika na hisia zako. Nilijua uko grown kumbe holaa
Huyo jamaa mbona anaonekana mporipori....unawezaje kumpa hela mporipori kama huyo
Asee kama sio kulinda heshima ya watu ningekutajia waliotapeliwa kwa majina yao.
Preta nimeweka hapa ili kukuepusha na utapeli. kwa bahati mbaya au nzuri ni mke wa mtu sasa. Hayo ni ya 2013 nimeweka hapa kwa kuwa bado anaendelea na utapeli.
Usijudge kama huna uhakika na hisia zako. Nilijua uko grown kumbe holaa
ulimpa penzNi huyu hapa
Inawezekana dada yupo desperate kwa kiwango cha juu labda.......
Alafu mdau anakana kuwa kipochi manyoya kimesalimika ni maajabuShangaa na wewe....yaani ndani ya wiki moja na mtu anakubali kuivaa hiyo pete?
That's a head scratcher!!!
nyani niliandika mahusiani ambayo sikuyaelwa. Kwamba kuvishwa pete kwa muda huo Sikukubaliana nayo ndio maana sikuyaelewa. pia sijasema kama nilikubali kuvaa.But still...ndani ya wiki moja is a major red flag!
Don't you think?
Najua wewe sio preta. sikuona haja ya kujibu Mara mbili ndio maana nilimuita kwa hapaMie siyo Preta alafu nimejaribu kuangalia pande zote mbili sija judge mie mwenyewe kama binadamu nina amini sina immunity na mambo yanayowatokea wenzanu so I can't judge and I don't judge get me right lady
nyani niliandika mahusiani ambayo sikuyaelwa. Kwamba kuvishwa pete kwa muda huo Sikukubaliana nayo ndio maana sikuyaelewa. pia sijasema kama nilikubali kuvaa.
Niko busy kaka. Badae nitajibu nikipata muda.
Sasa unaona sawa nimuache aendelee kutapeli wengine? endelea kupata wasiwasi mama hii no nchi huru na raia wako huru kupata wasiwasi.Duh......sasa kama ni ya tokea 2013......si unge mind your own business......miaka 3 imepita bado unamfuatilia......hiyo ndio inazidi kutupa wasiwasi zaidi......
Nenda facebook kisha angalia group ya wanafunzi walisoma Russia ndipo utaona ushuhuda wa watu mbalimbali waliotapeliwa. Ninamuogopa Mungu ambae wewe humiamini siwezi kumsimgizia mtu. Kwaheri.Unajichanganya mwenyewe sasa.
Unasema ulivishwa pete ndani ya wiki moja halafu tena unakuja kusema kuwa hukusema kama ulikubali kuvaa? WTF!
Hahahaa.....aisee....isije ikawa mna mabifu yenu huko na umeamua tu kuja kumchafua mwenzio hapa maana unaaza kutokueleweka sasa.
Stori yako haijanyooka kabisa.
Najua wewe sio preta. sikuona haja ya kujibu Mara mbili ndio maana nilimuita kwa hapa
Sasa unaona sawa nimuache aendelee kutapeli wengine? endelea kupata wasiwasi mama hii no nchi huru na raia wako huru kupata wasiwasi.
Mchumba wa mtu unamuita mpori pori erooo kaka?Huyo jamaa mbona anaonekana mporipori....unawezaje kumpa hela mporipori kama huyo
Ushauri wa BureSearch
soyuz alumn ndipo mutaona kama shida ni mimi au yeye. Mtoto akililia wembe anapewa. ukija kumukata ndipo atakuja kujua kama unakataa au haukati. Kwaherini.