Beware: Tapeli Tapeli


Ngoja kwanza...wewe hukushtuka ulipovishwa hiyo pete ndani ya wiki moja?

Hapo tayari mbona kulikuwa na dalili za kutapeliwa!

Nani humvisha pete mtu ndani ya wiki moja?
 
Shosti......hukuona huo ni msala wa karne.....?.....na ukanyoosha kabisa mkono akuvike hiyo pete......?....

Shangaa na wewe....yaani ndani ya wiki moja na mtu anakubali kuivaa hiyo pete?

That's a head scratcher!!!
 
aaahaaa! umesema alikuvisha pete tu. mbona utuambii mamaeee kama alikula kichwa. midume ya siku izi wiki ni kubwa atakuwa kaondoka na faida moja hapo.
 
Ngoja kwanza...wewe hukushtuka ulipovishwa hiyo pete ndani ya wiki moja?

Hapo tayari mbona kulikuwa na dalili za kutapeliwa!

Nani humvisha pete mtu ndani ya wiki moja?
Ni school mate wangu wa olevel. So tulijuana sana kabla ya hapo
 
Duh asante kwa Taarifa lakini naomba niwe na mtazamo toafuti kidogo..


Kama nyie wawili mmepitia mahusiano then the two of you mna story ambayo kama ni lazima kuipa uzito zaidi alert yako basi na yeye ataoe version yake ya story ....

Maana hadi kufikia stage ya kukuvisha pete si kitu ndogo..


Otherwise pole saana kwa uliyo yapitia mshukuru Mungu kwamba hauna commitments yoyote nayeye

Kuwa makini usiingie tena huko.. kipimo cha utu ni kazi kubwa mara nyingi inahitaji muda mrefu kuwa na uhakika zaidi pia zingatia basics zoote muhimu..

Mfahamu in and out na wanaomzunguka etc etc

Kila la heri
 
Shangaa na wewe....yaani ndani ya wiki moja na mtu anakubali kuivaa hiyo pete?

That's a head scratcher!!!

Inawezekana dada yupo desperate kwa kiwango cha juu labda.......
 
Hawa wamemwagana tu kwa hasira mmoja kwa kuwa ana access na social media anakuja kumchafua,suppose na yeye aanzishe uzi akidai mambo mabaya juu yako nani tumwamini kati yenu?
 
Naomba nikuulize swali!!
 
Asee kama sio kulinda heshima ya watu ningekutajia waliotapeliwa kwa majina yao.
Preta nimeweka hapa ili kukuepusha na utapeli. kwa bahati mbaya au nzuri ni mke wa mtu sasa. Hayo ni ya 2013 nimeweka hapa kwa kuwa bado anaendelea na utapeli.
Usijudge kama huna uhakika na hisia zako. Nilijua uko grown kumbe holaa
 
Lazma atakuwa alishampa lile tunda alafu akajua huyo ndo mme wa kumuoa mtu kasoma rashia,kajua kapata kumbe sio,


Ha! Ha! Ha!
Not funny lakini ndivyo wao wanavyotaka hata wewe njoo na mauongo ndiyo utaenda nao sawa..


I chose my path regarding on them,
Can't trust them!
 
Ata km ni skul met wako sio kujirahisisha kiivyo ukamruhusu mtu akuvishe Pete kwenye mahusiano ya wiki moja kiufupi dada yangu kwenye hilo la kuvishwa Pete ulichemka
May be
shits Hutokea.
alikuwa best friend way back. na kuhusu Pete hakuna niliposema nilikubali (pitia andiko langu).
Hoja ni kukwepa utapeli. Wether alikula tunda au hakula haina tija kwa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…