Edo kissy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 4,909
- 12,924
Pole mkuu🤝Tunapitia mengi boss, id haimaanishi chochote
Pole mkuu🤝Tunapitia mengi boss, id haimaanishi chochote
Hapana mkuu Wenye stake kubwa wanafaidi sanaaa odd 4 ,3,2 weka mzigo ,cha msingi ni kuepuka Tamaa ya kuweka matreni ndicho kinachotuponzaNapo unakuta mwendo ni ule ule
Itabdi utulize akili mkuu betting ukicheza kwa hasira unaambulia vipigo tuuNoma
Hata Mimi nipofikia ni pabaya sana,Nina madeni mengi sana, nimepoteza uaminifu Kwa watu.Nilipofikia ni pabaya mno
Mostly basketball Nina stake high sana.Unacheza michezo gani?
😀😀😀Tupo na wewe hadi mhindi akuue
Achana na michezo hii ya aviator na macasino hayo yamesetiwa,cheza michezo halisi ya football odds kidogo tia mzigo.Nilipofikia ni pabaya mno