Mh!Hayajakukuta omba yasikukute
Hiyo ya kushindia ofisi za premierbet inakufanya uonekane wa ajabu sana ktk jamiiNikajua nikiblock betpawa na sportybet nitakua nimepimua lakini wapi sahizi nacheza had ofisi za premierbet naliwa huku nimesimama
Labda cha kufanya kama bado hali ya kubet unayo tafuta betwall playstore ile unajiwekea tu mkeka Hautumii hela ili uone trend ya kukosa inavyokuwa kubwa ndio uone je ingekuwa ni hela halisi jinsi ambavyo ungepoteza.Nikajua nikiblock betpawa na sportybet nitakua nimepimua lakini wapi sahizi nacheza had ofisi za premierbet naliwa huku nimesimama
Pole sana,yaan mim kwangu tatzo ni pesa ikiwa kwenye sm tu ndo tatzo ila siwez kwenda kwa wakala aniwekee hela nibetPesa ni zangu lakini napoteza mno kama leo tu 489k imepotea
Ukiamua kuacha unaacha, kila kitu kipo ndani ya uwezo wako, mimi niliamua kuacha betting 2020,yet am happy and thriving so well.Kanji anakupuna tu ata ukitia stake ya shilingi 20
kuacha kamari ni ngumu labda upumzike tu kwa mda.
Mega ndio tamuKubeti ni starehe sio chanzo cha mapato. Cheza kiasi, jua ni muda gani wakupumzika. Jero imeshusha mzigo wote huo🤣View attachment 3379010
Nzuri nitaitafutaLabda cha kufanya kama bado hali ya kubet unayo tafuta betwall playstore ile unajiwekea tu mkeka Hautumii hela ili uone trend ya kukosa inavyokuwa kubwa ndio uone je ingekuwa ni hela halisi jinsi ambavyo ungepoteza.
Imeshakua kwenye akili yangu, hasa nikikumbuka pesa nilizopoteza. Circle ya marafiki naona kabisa ugumu ulipoJaribu kubadilisha hobby / tabia yaani tafuta starehe nyingine itakayoku keep busy ambayo haina madhara kama gambling
Pia jiulize kwanini una bet ? Je ni ili upate utajiri ? Kama jibu ni ndio kufahamu / kuelewa tu kwamba huwezi kupata utajiri au kushinda in the long run (the house always wins na mathematically unapewa raw deal) kutakufanya ujue kwamba unachotaka (utajiri) huwezi kupata hivyo venture yote haina maana zaidi ya kupoteza muda na emotional instability...