Betting addiction inanipotezea utulivu kabisa

Betting addiction inanipotezea utulivu kabisa

Imeshakua kwenye akili yangu, hasa nikikumbuka pesa nilizopoteza. Circle ya marafiki naona kabisa ugumu ulipo
Naam ukishaweka akilini mwako kwamba mwisho wa siku ni kupoteza na hakuna uwezekano wa kupata basi utagundua kwamba winning is not an option na utaacha kucheza ili kupata unless kama unafanya kwa entertainment
 
Ahsante sana nitayafanyia kazi haya yote
 
Hatua ya kwanza ni kutokukaa na pesa kwenye simu. Fungua akaunti usiyoweza kuvuta pesa kwenye simu. Haitafuta ila itapunguza sana, jitahidi uwe na majukumu ya lazima, viproject vya maendeleo, kopa hata shamba usumbuliwe malipo kila mwezi ulipe. Haitafuta ila pesa ya kubet utaipunguza kulipa madeni.

Hongera kwa kutambua kuwa mhindi anakuona FALA wake wa kumtajirisha.
 
Namna pekee ya kwanza ya kuachana na addiction yoyote ni kuweka nia thabit ndani ya moyo wako. Kimbiaa

Hapa marafiki inabidi ubadilishe. Simu yako pia inabidi upunguzi kila kinachohusu betting.
 
Ni kama pepo asee yani ukiangalia mkeka wako unajisemea kabisa leo hapa kuna hela
1749317248035.jpg
 
Back
Top Bottom