Betting addiction inanipotezea utulivu kabisa

Betting addiction inanipotezea utulivu kabisa

Hapa nimepiga hesabu kupitia diary yangu kwanzia mwezi wa nne mpaka leo nimeliwa milioni mbili laki moja na 89
2,189,000/= ambayo ni wastani wa laki saba kila mwezi hapo sijapigia hesabu toka mwaka umeanza hadi ka suzuki kangu nimeuza
napenda sana cassino hasa spin and win huwa nikiliwa nasema sichezi tena ila nikipata hela tu nakua kama na maruhani yaani lazima nibet tu.

Inanicost mno sometimes mtu unashindwa nunua hata nguo upendeze pesa unalisha wahindi

Sijui nachomokaje kwenye huu uraibu ila kwa kifupi hali ni mbaya
Naita jopo Hawa watu wakitoa ushauri uchukue na fanyia kazi.

Intelligent businessman
Kiranga
Monetary doctor
secretarybird
Dennis Robert Shughuru
Leejay49
Half american
mshamba_hachekwi
Pascal Mayalla
DeepPond
min -me
DR HAYA LAND
dosho12
Castle_Lite
makutupora
Tlaatlaah

E.t.c
 
Namshauri aanzishe forum ambayo itakuwa mbadala wa JF kwa kutumia hele anayopoteza katika betting na natumai membaz wote wa humu tutahamia kwake maana mods wa humu wanazingua sana.

Yangu ni hayo tu!

Cc DR SANTOS

Million mbili itatosha kweli kupata certificate of incorporation,tin number, bussines license na ofs na wafanyakazi au tufanye DONATION 😆
 
Katika vitu hutakiwi kuiruhusu nafsi yako ni addiction, ya kitu chochote haijalishi ni kitu gani. Wengi wametumbukia kwenye uraibu wa kamari. Kuna nyakati nilikuwa nabet, japo sikufika huko ila niliona trend sio nzuri nikaacha. Pole mkuu, tafuta namna nzuri uache kabisa, wekeza kidogo kwenye mambo ya msingi.

Addiction nyingine inayoumiza watu bila kujielewa ni "simu, online social networks", jaribu kukaa mbali na simu yako for 24hrs, ukiweza bila kuweqeseka basi uko vizuri
 
Nina biashara ya duka mara kadhaa nikishinda pale nakua na simu ni ku scroll mda wote
 
Uraibu wowote ule unaushinda wewe binafsi kwa kuchagua kilicho bora mbele yako,...acha kujiendekeza MKUU
 
Means DR SANTOS unaliwa kila siku? Are you a Doctor wa kweli au unazuga tu?
Na mjibia ni doctor na ana mchango mkubwa Sanaa humu jukwaani.

NB. Kipindi Fulani tabata nikiwa mwanachuo Kuna brother mmoja doctor muhimbili alikua mlevi na mnywa pombe kupitiliza akafariki kwa ugonjwa wa Figo akiwa kwenye prime age iliniumaga Sanaa YULE BROTHER ALIKUAGA ANATETEMEKA ASUBUH MPAKA ANYWE POMBE NDIO HALI INATULIA. Inashangaza msomi wa afya kuwa addicted na ulevi wa mapombe kupitiliza

SO ADDICTION NI ADDICTION IWE MPIRA, BETTING,NGONO,POMBE E.t.c
So haijalishi hata uwe Raisi wa nchi ama ASKOFU ama doctor.
 
👉 Akipata hela nyingn kabla hajawaza casino awaze matumizi yake na mambo ya muhimu yanayohitaji pesa,

👉 Achukue kiasi kadhaa aende hapo zanzibar enjoy life, peana mwili shukrani,

👉Ukirud tafakari uliyoyaona huko zanzibar then tafuta pesa kwa bidii acha kunufaisha wahindi hela,

Sithubutu nisije ekewa kikao mrina hotel manzese tunasafirisha ama kuzika hapa hapa
 
Back
Top Bottom