Betting addiction inanipotezea utulivu kabisa

Hii inshu nilishaipitia ila mdogo mdogo naelekea kupona ,ila majuz tena nimejikuta nimerudia ujinga nikapigwa 30,000 chapu

Ilifikia mpaka nikawa nabetia pesa za watu,nimelipa mdogo mdogo sahv nimebakiza kama laki 1.5 nililiwa kama laki 5 ya watu,

Betting ya sasa ukitaka ufe beti high stake,tunakuzika mapema tu
Pesa ni zangu lakini napoteza mno kama leo tu 489k imepotea
 
IMG-20250118-WA0580.jpg
 
Hapa nimepiga hesabu kupitia diary yangu kwanzia mwezi wa nne mpaka leo nimeliwa milioni mbili laki moja na 89
2,189,000/= ambayo ni wastani wa laki saba kila mwezi napenda sana cassino hasa spin and win huwa nikiliwa nasema sichezi tena ila nikipata hela tu nakua kama na maruhani yaani lazima nibet tu.

Inanicost mno sometimes mtu unashindwa nunua hata nguo upendeze pesa unalisha wahindi

Sijui nachomokaje kwenye huu uraibu ila kwa kifupi hali ni mbaya
Kama umeliwa 2.1m na umemla mhindi mil 4 kwa mkeka mwingine we beti tuu. Ila km unakula za uso kila mkeka, achana na io kazi
 
Hapa nimepiga hesabu kupitia diary yangu kwanzia mwezi wa nne m sanapaka leo nimeliwa milioni mbili laki moja na 89
2,189,000/= ambayo ni wastani wa laki saba kila mwezi napenda sana cassino hasa spin and win huwa nikiliwa nasema sichezi tena ila nikipata hela tu nakua kama na maruhani yaani lazima nibet tu.

Inanicost mno sometimes mtu unashindwa nunua hata nguo upendeze pesa unalisha wahindi

Sijui nachomokaje kwenye huu uraibu ila kwa kifupi hali ni mbaya
Sijui kuhusu cassino na aviator lakini football kwa mtaji huo ungempasua sana huyo kanji
 
Hapa nimepiga hesabu kupitia diary yangu kwanzia mwezi wa nne mpaka leo nimeliwa milioni mbili laki moja na 89
2,189,000/= ambayo ni wastani wa laki saba kila mwezi napenda sana cassino hasa spin and win huwa nikiliwa nasema sichezi tena ila nikipata hela tu nakua kama na maruhani yaani lazima nibet tu.

Inanicost mno sometimes mtu unashindwa nunua hata nguo upendeze pesa unalisha wahindi

Sijui nachomokaje kwenye huu uraibu ila kwa kifupi hali ni mbaya
2,189,000/= kwa miezi miwili. Hiyo ni saruji ngapi? Ni tofali ngapi? Ni viwanja vingapi vya 'boss kwezi'?
Halafu utasingizia Serikali ya CCM imetufanya kuwa maskini.🤔
 
Kwanini huwa mnaamini mtu atengeneze system yake huko halafu wewe uje uweke pesa zako u bet, unafikiri hiyo system itaenda against nayeye..??
Hayajakukuta omba yasikukute
 
Hapa nimepiga hesabu kupitia diary yangu kwanzia mwezi wa nne mpaka leo nimeliwa milioni mbili laki moja na 89
2,189,000/= ambayo ni wastani wa laki saba kila mwezi hapo sijapigia heaabu toka mwaka umeanza hadi ka suzuki kangu nimeuza
napenda sana cassino hasa spin and win huwa nikiliwa nasema sichezi tena ila nikipata hela tu nakua kama na maruhani yaani lazima nibet tu.

Inanicost mno sometimes mtu unashindwa nunua hata nguo upendeze pesa unalisha wahindi

Sijui nachomokaje kwenye huu uraibu ila kwa kifupi hali ni mbaya
Pole sana Mkuu
 
Attachments

  • Screenshot_20250622_200729_BetWinner_cotz.jpg
    Screenshot_20250622_200729_BetWinner_cotz.jpg
    186.9 KB · Views: 20
  • Screenshot_20250622_200750_BetWinner_cotz.jpg
    Screenshot_20250622_200750_BetWinner_cotz.jpg
    189.4 KB · Views: 22
  • Screenshot_20250622_200810_BetWinner_cotz.jpg
    Screenshot_20250622_200810_BetWinner_cotz.jpg
    171.1 KB · Views: 16
Back
Top Bottom