Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,245
- 17,973
Beyonce hana nyimbo za maana!!?Beyonce kila mwaka anapata tuzo wakati hana nyimbo za maana ndo maana kuna watu wanasema hayo matuzo ni km kuongeza mabati tu ndani
Kupata Burna ni sawa kapata Wiz, Nigeria mojaaaaa,Kwaiyo wakamsagia hadi wizkid ausio
Beyonce kila mwaka anapata tuzo wakati hana nyimbo za maana ndo maana kuna watu wanasema hayo matuzo ni km kuongeza mabati tu ndani
HahaaaaBasi kupata Burna ni sawa kupata Africa .. Africa moja
Mkeka umetikii...hahahahaaWazee petisheni yetu imefanya kazi au ?
Watu watabirii!!!aiseee kwa huu mkeka Diamond hatoboi
Hata ingekuwa ya 2010 kamwambie si ni ya diamond, ingepigwa tu ili mradi inamreprent yyJeje ya mwaka gani? Kilometer ina miezi mitatu
Msanii wa ChamaBadilisha heading andika ‘msanii uchwara kakosa tuzo’
Hata ingekuwa ya 2010 kamwambie si ni ya diamond, ingepigwa tu ili mradi inamreprent yy
Mwisho wake Kenya inakuaje anaenda kufanya show kwenye nchi nyingn tena kwenye viwanja na anajazaBeyonce hana nyimbo za maana!!?
Nyie ndio mnamvimbisha kichwa huyo Sadala wenu hadi ajiona mkubwa dunia nzima wakati mwisho wake ni Kenya tu.
Watu weusi ndio wasanii kuliko wazungu ama vipi? Mbona wote ni black.BEST INTERNATIONAL ACT
View attachment 1830460
Sahihi, Na inapaswa kuwa hivyo. Pitia hii nukuuMbona wote ni black.
Kwahyo wamasai wote Ni wanawake?Nguo za kike kavaa
Ashinde njaa auUkimshangilia mondi akikujua tu wewe ni shabiki yake huna nyota unapotea kwa hiyo ngoja tu ashindee .
Ushamuona mmasai wa kiume anavaa ivyo?Kwahyo wamasai wote Ni wanawake?