BET Awards 2021 Los Angeles Marekani, Diamond aangukia Pua

Mbona wote ni black.
Sahihi, Na inapaswa kuwa hivyo. Pitia hii nukuu

"The BET Awards is an American award show that was established in 2001 by the Black Entertainment Television network to celebrate African Americans in music, acting, sports, and other fields of entertainment over the past year." [ Wikipedia ]
 
Ukimshangilia mondi akikujua tu wewe ni shabiki yake huna nyota unapotea kwa hiyo ngoja tu ashindee .
 
Huyu mwanaharakati amejidhihirisha yeye ni kichwa panzi kabisa kwenye kampeni za hivi karibuni za BET. Na post yake baada ya burnaboy kuchukua tuzo inajidhirisha hana upeo hata kidogo. Anataka mondi abadili meneja ili apewe yeye? Anajua vizingiti walivyopitia hao mameneja baada ya fitna ya miaka yote ya upende wa clouds na washirika? Hajui roho ya paka ya hao mameneja ndio na leo mondi anawakilisha ipasavyo? Kiufupi hajielewi anachotamani kuona ni kuwa mondi anaanguka. Nilikua namheshimu huyu mwanaharakati kumbe hamna kitu kabisa.

IMG-20210628-WA0013.jpg


IMG-20210628-WA0013.jpg
 
17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom