BET Awards 2021 Los Angeles Marekani, Diamond aangukia Pua

Kwani wewe kwa akili yako ulihisi domo angeshinda tuzo, kwa vigezo vipi haswa? Wacha watu wenye hasira wamshambulie, ashinde domo asishinde yeye anashinda kwa ajili yake na si kwa ajili ya watanzania. Mwacheni apambane na hali yake. Binafsi sikuona point ya yeye kwenda Marekani because niliamini kabisa asingeshinda tuzo.
 
Kashinda Burna boy ikapigwa background "kilometre" sasa ndugu yetu angeshinda wangepiga background gani? " unataka lala ...awapi tuzime mziki...awapi, kisambulike sambwanda ...sijui nani kachanika musamba..."

Anatakiwa ajivunie tu kuwa nominated inamtosha.
Ko we jeje huijui...?
 
Hayo ma single yale ya kukurupuka kisa harmonize au alikiba katoa na yeye anamjibu ndani ya wiki moja katoa audio na video na kaiweka mtandaoni kupata view

Ona mfano hii ya mwisho na mupao ,mpaka mamifuko waliobebea manguo na vifaa vyao yanaonekana kwenye scene.

Hawatulii kutumia muda ku plan kazi itaanzia wapi na kuishia wapi. Editors watumie muda mrefu kuondoa vimakosa vidogovidogo na wajue kuwa kazi wsnayoitengeneza itakwenda kushindana na zingine duniani katika kila idara kuanzia vocal hadi graphics na sio unapo kwenda hapo kahama, kenya au sudani kusini na kujaza uwanja uone umemaliza

Muda sasa wasanii wa bongo wawekeze kwenye audio na hraphics wajifunze kuimba na sio kutegemea sauti za computer (autotunes) kwa asiyeelewa atashangilia kuwa wanajua kuimba ila anayejua ni ushsmba kutumia outo tunes kwa karne ya sasa
Ww ni msanii..?
 
😄😄😄 kwa hiyo vazi limemuangusha, teh teh
Diamond nadhani alikuwa anajuwa hawezi kupata ila goal ilikuwa aibe spotlight na njia ikawa kimasai lakini hata wakati anaingia redcarpet unamuona kama yuko shock hawa media wako wapi mbona wako busy na wengine hivi hawanioni media kubwa kama zimempotezea kabisa face expression unaona yuko dissapointed sasa ukumbini hata camera kuvutwa nako hakuna alijaribu kupitia katika hili ila nadhani lime fail ila kujaribu sio mbaya lazima tumpongeze next time unajifunza.
 
Huyu jamaa bora kakosa tu. Uchaguzi wa mwaka 2020 aliona kabisa upinzani unakandamizwa waziwazi, lakin bado aliamua kuunga mkono udhalimu wa Magufuli na CCM
Kwa mijali hiyo basi inakubidi uwachukie wasanii wote wa Kibongo kuanzia wa kuimbaimba mpaka wa Bongo movie labda ukimtoa Roma Mkatoliki, ila kwa mimi japo utawala wa Hamnazo ulikuwa wa kishenzi na alistahili kufa pia nilifurahia kifo chake lakini naamini kila mtu ana haki na uhuru wa kuchagua mrengo wa siasa anoona unamfaa kwani hiyo ndiyo demokrasia.
 
People hate hate what they can't qoncure,fear what they don't understand.
Kwanini unataka,unasubili ashuke?
Mond kupata ukwasi(mkwanja mrefu)sio sababu ya wewe kukosa,
Watu wengi wanaonesha chuki kwa mtoto wa Tandale,ukichunguza sana,hawamchukii yeye kama Mond,wanatamani wawe kwenye nafasi yake hapo alipo,mijumba mikali,ndinga za kutosha za bei mbaya,pesa ndeefu,
Totos za kumwaga,sasa kwa vile hawawezi kuwa pale alipo,chuki inawajaa vifuani,
Sasa unajiuliza Mond kakosa tuzo,wewe unashangilia!unapata faida gani?unaishi kwenye chumba master Cha kupanga,na ka ajira kenye kipato hakifiki hata 1M!
Mwenzio anaishi Mbezi,katoa ajira kwa watu kibao,wanaovuta kuanzia 2M kwenda mbele,mtu kama huyu ukimchukia,kwanza sio jirani yako,huwezi kukutana nae popote,wewe ukila wali nyama wa buku 5,unaona bei kubwa!
Mwenzio anakula soda ya buku 10!
Ukimchukia,lazima utakuwa na matatizo ya akili.
Kuna jambo moja ambalo bado watoto hamjatambua, kufikiri diamond ndo mtu pekee anyechukiwa kwasababu katusua

Nikisema niwachukie watu wenye maisha mazuri nakuhalikishia diamond hawezi kuwepo kwenye list. Mo anamilika ma tirion ya pesa na ameajili watu wenye kulipwa probably mkwanja mrefu kuliko icome wa huyo kishtobe wako na bado hujiulizi kwanini simchukii kama sababu ya chuki ni wivu wa mafanikio ya mtu?

Mbona unafikiri kijinga sana hivyo?
 
Arudi kwa baba yake akapige magoti machozi ya yule mzeee ni kivuli ambacho kitaendelea kumtafuna ndani ndani ,
 
Back
Top Bottom