BET Awards 2021 Los Angeles Marekani, Diamond aangukia Pua

Kigogo
Screenshot_20210628-105248_WhatsApp.jpg
 
Kashinda Burna boy ikapigwa background "kilometre" sasa ndugu yetu angeshinda wangepiga background gani? " unataka lala ...awapi tuzime mziki...awapi, kisambulike sambwanda ...sijui nani kachanika musamba..."

Anatakiwa ajivunie tu kuwa nominated inamtosha.
 
Sasa kama ni kujilipia ni bonge la hasara yaan daaah
Kwao hizo nauli ni pesa ndogo sana.

Mara nyingi shida yao kubwa huwa ni Visa tu.

Imagine nauli tu ya kwenda South Africa na kurudi ni almost Tsh 600,000.

Pesa hiyo kwetu wengine ni mtaji kabisa ila kuna raia wengine wajinga wajinga tu wanazurula kila siku kwenda huko bondeni na kurudi.
 
Back
Top Bottom