lenpel
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 253
- 165
ndugu sijui Rolex mnazozionesha hapo ni Original from Switzerland au sijui wapi but kuna duka la saa liko ndani ya plaza moja hapa posta (yenye Le grand Casino) ndugu zangu Rolex ni dola 10000 hadi 16000 tena zinaletwa kwa order sikuamini nikashangaa hizi za laki mbili mtaani zinatoka wapi, kama ww kweli umepurchase genuine Rolex kwa hiyo bei nakupa heshima yako!!! personally ninayo Casio G shock na pia napenda Swatch (ambayo ntanunua karibuni) kama mwanafunzi anavyopenda wali arage!