Best Watch Brands for Men!

Best Watch Brands for Men!

Napenda sana saa,simu kwangu naona kama ushamba fulani ndio maana natumiaga iphone tu,ila saa napenda sana seiko is my life! ninamsela wangu alipewa saa na babu yake mpaka leo hii inafanya kazi anasema hatampa mwanae siku na yeye,na mm nitampa mjukuu wangu seiko yangu one day

Seiko velatura au seiko ipi mkuu. . . . .
 
Watu wanawekeza akili, pesa, ujuzi, teknolojia, marketing kwenye industry hii ya saa we unashangaa kujadili tu. . . . . .?!!

Watu..'wanawekeza'watu wanawekeza hata kwenye maji taka...unaongelea kuwekeza au unaongelea usharo usio na tija katika nchi maskini kama Tanzania??
 
Watu..'wanawekeza'watu wanawekeza hata kwenye maji taka...unaongelea kuwekeza au unaongelea usharo usio na tija katika nchi maskini kama Tanzania??
"usio na tija" kwa nani??!!
"Tija" ipi kwa nani unaizungumzia wewe??!!!
"usharo upi" kwa mujibu wa nani??!!!
Unatumia kipimo gani kusema huu ni "usharo" na "hii ni tija". . . . . . .

Unajua hierarchy of needs and self actualization/satisfaction???!!!!

Maisha ni "subscription" kama unavyochagua mtandao wa simu basi na maisha yana streams na trends. . . . . .choose your comfort zone and keep breathing. . . . . .last card!!!!
 
Kweli...tu subscribe lakini pia hatutakiwi kuwa selfish...kwa maana ya kuhusika na jamii inayotuzunguka
 
Watu wanawekeza akili, pesa, ujuzi, teknolojia, marketing kwenye industry hii ya saa we unashangaa kujadili tu. . . . . .?!!

Mwambie akaangalie utengenezaji wa saa unachangia GDP ya Switzerland kwa asilimia ngap?
 
Mawe yangu hayo
 
Attachments

  • 20150425_070717.jpg
    20150425_070717.jpg
    572.4 KB · Views: 178
  • 20150425_070726.jpg
    20150425_070726.jpg
    465.1 KB · Views: 170
  • 20150425_070745.jpg
    20150425_070745.jpg
    576.9 KB · Views: 176
.. OLESAIDIMU hiyo moja hapo nilipewa babu mmja wa ki Norwegian alikuwa nayo tangu 1935, it's a gold plated watch mpaka mm nnayo zaidi ya miaka 15 tangu nipewe
 
Last edited by a moderator:
Mimi ni seiko flightmaster sna411
Price yake ni reasonable
Ila kuna bretling navimeter imesimama sana
 
Umetishaje shosti!!!!....LAZIMA PIA UNA HORMONE ZA KIUME😛anda:
 
What do you all think about watches? Do you consider them a must-have accessory, or are they more of a luxury item? I want to buy my first watch and need some oppinion.
 
Watches can be both super useful and fancy, depending on your vibe. If you're hunting for your first watch, think about what you'll actually use it for. A stylish, versatile one can be a solid pick without costing too much.

I still remember my first watch gift from a friend, it got me into watches! I’ve always wanted a Rolex, but those prices are insane. So, I found some dope replica watches that look awesome without emptying my wallet. Check out this site with good replicas: High Quality Replica Watches Shop | Free Shipping in Europe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom