Money Stunna? Au nani mwengine?Okayyy good...nikitaka mnunulia hubby ntakuja isoma tena hii thread
Last edited by a moderator:
Money Stunna? Au nani mwengine?Okayyy good...nikitaka mnunulia hubby ntakuja isoma tena hii thread
Kenneth Cole!!! my all time favourite.
Citizen-Eco drive
View attachment 246208View attachment 246209
Hapa sitoki lol anapenda watches hizo ndio my favourites
Cc OLESAIDIMU
farkhina . . . . . value of a man is a combo of many things. . .material and non ones
Bado utafute AY na MwanaFa
Thats so simple and nice
Watu wa kale na vijana wana mambo yao katika hili!!!!!
Watu wa umri wa kati tuna mix kutokana na experience ya waliotulea lakini pia tuna venture kwa watengenezaji wapya!!!!!
Vijana wadogo trend ya fashion ni misaa mikubwa na yenye vito na saa nyingine mikanda ya rangi kama rainbow!!!!!!
1. Casio ediffice version for semi casual
2. Suti/ Long sleeve na tai haoo natupia rolex, swatch au Seiko kwa utaratiibu sana maana hao traditional will never let you down huko uendako,si unajua mambo ya round/oval table!!!!
3. Jeans ,tee na sneaker ; where is my hublot ya mkanda wa plastic!!! Au a bold Diesel leather strapped can back up the look!!!!
4. Short sleeve lakini official hapo designer yoyote mwenye leather straps black or brown sio mbaya kutokana na kiatu na mkanda sasa hapo kina cartier na nduguze wenye flat moulded with sapphire finishing wanachomoza!!!!
5. Field work hujui saa ngapi mvua na tope vitakukuta au kufukuzana na hili na lile,say shooting na vitu kama hivyo hapa huhitaji wheels, gears and hands to tell you when is it!!!!!Casio G-shock illuminator encased in plastic material is my best companion!!!!!!Swiss army tough metalic but wapo vizuri pia!!
So inakuwa kama hivyo ingawa sio exactly kwa kila mtu!!!!!!!
Ila watch out hii ni addiction mbaya sana sana kabisa I am overcoming mine taratibu saa ni ugonjwa mbaya sana ,wahusika wataelewa hii maneno!!!!!
I prefer Q&Q from citizen
Naona huo km ni mkono wa ke
Habari za Weekend Wakuu,
Embu leo tuambiane brand gani ya saa ya mkononi ambayo unaipendelea ukiangalia vitu kama quality, price na design.
Mimi nimetokea kupenda brands za saa za mkononi kama Michael Kors, Breitling, Hublot na Mont Blac
Embu tupieni na za kwenu wadau
Picha za hizi brands hizi hapa;
Michael Kors
View attachment 134632
Breitiling
View attachment 134634
Mont Blac
View attachment 134635
Hublot
View attachment 134636