Pare Mountains
Member
- Jan 7, 2014
- 13
- 1
Ben Shermon
nimewasoma....hapo ni sawa mimi nasifia GX110 yangu halafu mtu anakuja kutaja RR,BENTLEY,MAYBACH,LAMBO etc.... huko mbali sana hata sijui nitafika lini.
Ziko fakes za mchina nyingi tu kitaa
inabid nitafute hela na mimi nikanunue saa ya maana, coz nimezoea kununua hiz za mtaan elfu 5 tu... haina kwere.. na wote tunapendeza.
Kitu cha rolex datejust
Mkuu umenifurahsha ile mbyaaaaaaaaaaaaa.... huwez kuamin muhudumu niletee Kilimanjaro nyngneAsahi ya makonyeza!!! Bei rahis na majira kamili..
Mkuu umenifurahsha ile mbyaaaaaaaaaaaaa.... huwez kuamin muhudumu niletee Kilimanjaro nyngne
Mkuu ongeza Ze Bingwa 2 nimeshafungua tab
i'm allergic to counterfeit....i'd rather have a $150 original SEIKO/DIESEL/TIMBERLAND ETC....
Old school!!!!!!!!!!!Kitu Oris bwana!
So you hate fake Rolex?
wengine hata makonyeza tu fresh, kikubwa muda!
Ni kweli mkuu, lakini kuna watu wanapenda class and status
Hiyo police
I hope you can afford to buy one, au itakuwa fahali ya macho haifilisi duka.
$990,000.00
Buy it Now
Why our customers love us
Free Warranty + Service
FREE Fast Shipping Both Ways + Insurance
5-Star Customer Support
Need Assistance?
US: 877-928-2499
INTL: +1 323-372-6110
Available: M-F, 9am - 5pm (EST)
Click here for Shipping Information
Click here for Warranty Information
![]()