Watu wa kale na vijana wana mambo yao katika hili!!!!!
Watu wa umri wa kati tuna mix kutokana na experience ya waliotulea lakini pia tuna venture kwa watengenezaji wapya!!!!!
Vijana wadogo trend ya fashion ni misaa mikubwa na yenye vito na saa nyingine mikanda ya rangi kama rainbow!!!!!!
1. Casio ediffice version for semi casual
2. Suti/ Long sleeve na tai haoo natupia rolex, swatch au Seiko kwa utaratiibu sana maana hao traditional will never let you down huko uendako,si unajua mambo ya round/oval table!!!!
3. Jeans ,tee na sneaker ; where is my hublot ya mkanda wa plastic!!! Au a bold Diesel leather strapped can back up the look!!!!
4. Short sleeve lakini official hapo designer yoyote mwenye leather straps black or brown sio mbaya kutokana na kiatu na mkanda sasa hapo kina cartier na nduguze wenye flat moulded with sapphire finishing wanachomoza!!!!
5. Field work hujui saa ngapi mvua na tope vitakukuta au kufukuzana na hili na lile,say shooting na vitu kama hivyo hapa huhitaji wheels, gears and hands to tell you when is it!!!!!Casio G-shock illuminator encased in plastic material is my best companion!!!!!!Swiss army tough metalic but wapo vizuri pia!!
So inakuwa kama hivyo ingawa sio exactly kwa kila mtu!!!!!!!
Ila watch out hii ni addiction mbaya sana sana kabisa I am overcoming mine taratibu saa ni ugonjwa mbaya sana ,wahusika wataelewa hii maneno!!!!!