Best Tanzanian university rank 2015

Best Tanzanian university rank 2015

buzzkenya.com/latest-ranking-for-best-tanzanian-universities-released/
 
Naona wale wa UDOM na OPEN UNIVERSITY mnajifariji,hivi hawa wanatumia sifa zipi hizo zinazoweza kuiweka ARDHI,Mzumbe,IAA,IFM chini ya OPEN na UDOM?!!!

Maajabu ndio hayo sasa......

Acha pumba nna hofu we we umeenda chuoni na dvs4 ya big result, ndo man a ufikirii mbali. hujui kwamba Udom ni chuo kichanga saaana hapa Tz hvyo ndo wanaaamka sasa mtaisoma namba.
 
CHIPWILU!!!kiongozi kugoogle tu kunaweza kukupa takataka ndiyo maana kuna somo la searching techniques, kwani wewe umetafuna au umetafuniwa? hizo msg zimecirculate toka asubuhi kuanzia kwenye wasapp, blogs lakini hazionyeshi source so usilazimishe kusearch kwenye google, ungetaja site accredited kwa kazi hiyo!Top Universities in Tanzania | 2015 Reviews & Rankings unamaanisha hiyo? Maelezo ya mtoa mada kuna Institutes na University kitu ambacho nakikosoa labda tuna school of thoughts tofauti mno!!
kijana hii wamechukua kwenye world rank na kuzipanga kwa mtiririko wa vyuo kwa Tanzania ila wait kidogo nikuletee hiyoo link.. http://www.webometrics.info/en/world utavipanga wewe kwa mtiririko au ingia afrika sub sahara
 
kijana hii wamechukua kwenye world rank na kuzipanga kwa mtiririko wa vyuo kwa Tanzania ila wait kidogo nikuletee hiyoo link.. World | Ranking Web of Universities utavipanga wewe kwa mtiririko au ingia afrika sub sahara

nami nakupa link endelea kuchambua, ndiyo sababu nimetaka authenticity ya hiyo taasisi iliyotoa hapa ipo karibu 50 nakutupia hapa
World University Rankings 2014-2015 - Times Higher Education
QS World University Rankings® | Top Universities
CWUR 2014 | Top Universities in Africa
Top 100 universities for engineering and technology 2014-2015 - Times Higher Education
The QS World University Rankings, the world's most trusted university rankings, can tell you if your prospective university is part of that prestigious group. Studying at one of the top 100 universities in the world can help your career by providing you with a world-leading education from renowned experts. The reputation of your institution carries you throughout your work life, and many employers prefer to hire graduates from top universities.
 
hakuna cha msuli wala nin,walimu wenu ndo wanajitahd kupga research na kuzipublish,ndio kimewabeba hcho.

Acha ubazazi hakuna cha msuli? ila kuna nini sasa? unabishana na mimi nliepoteza ndugu zangu weng kisa walilegeza msuli waka disco? Hapa ni msuli tuu na kesho tunaenda kukiamsha tena so uwe unafanya reserch kwanza kabla ujaja hapa miaka inaenda vitu vinabadilika amka, udom sio ile ya 2007 ngja tukae juu hapo ndo mtaelewa
 
Acha ubazazi hakuna cha msuli? ila kuna nini sasa? unabishana na mimi nliepoteza ndugu zangu weng kisa walilegeza msuli waka disco? Hapa ni msuli tuu na kesho tunaenda kukiamsha tena so uwe unafanya reserch kwanza kabla ujaja hapa miaka inaenda vitu vinabadilika amka, udom sio ile ya 2007 ngja tukae juu hapo ndo mtaelewa

ndoto za mchana hzo.
 
CHIPWILU!!!kiongozi kugoogle tu kunaweza kukupa takataka ndiyo maana kuna somo la searching techniques, kwani wewe umetafuna au umetafuniwa? hizo msg zimecirculate toka asubuhi kuanzia kwenye wasapp, blogs lakini hazionyeshi source so usilazimishe kusearch kwenye google, ungetaja site accredited kwa kazi hiyo!http://www.4icu.org/tz/ unamaanisha hiyo? Maelezo ya mtoa mada kuna Institutes na University kitu ambacho nakikosoa labda tuna school of thoughts tofauti mno!!

Mbona UDOm haipo?
 
Hawa jamaa kwa miaka michache ijayo wanaweza wakashika namba moja.. Sababu ni moja tu..! Wengi wanaosoma OUT wako very determined, matured na mtu kaenda kusoma kweli!!!... Kwingine huku ni sarakasi tu..,,

That will not make them go up. It is the determination of those who teach them in only two areas: research and publications.
 
Ctaki amin hii list yaan mzumbe ipo chini ya udom kitaaluma afu udom ndo ipo juu???? Kwendraaaa
 
UDOM ya sasa jaman ni bora tuache utan,mapunguf yalikuwepo meng 2007 wakat ndo inaanza,wanaoponda waliomba wakakosa!
 
Kwa maboresho ninayoyaona UDOM,sitashangaa nikisikia kimekuwa no.1 TZ ,yeyote anayeiponda,atakuwa anaongelea ya 2007!
 
Kwa namna UDOM ilivo sasa sishangai kuwa juu ya mzumbe na ardhi,wewe unayeshangaa utakuwa huijui UDOM ya leo
 
Back
Top Bottom