Mi ''Ngoswe penzi kitovu cha uzembe''
Wakuu nisaidieni mwandishi wa hiki kitabu.
...Shida & Kuli...by Shafi Adam Shafi....the long road home, daddy,the kiss (dannielle steele)
the painted house -Grisham
My mother,myself....dont remember the author
Shida na kuli (dont remember the author)
...Shida & Kuli...by Shafi Adam Shafi....
Unaikumbuka...Nimekoma Ukuwadi....By Hammie Rajabu!!!
Baba Desi nilikuwa najihami na mashambulizi kutoka kwa wasomaji ambao wangepata mapokeo tofauti...naona ni mambo ya kunguru mwoga.....
Back to the books, I had a feeling kuwa most of vitabu vya Elvis Musiba (na character wake Willy Gamba) were a bit like swahili versions of James Hadley Chase (ingawa sikumbuki hata title zake manake navyo vilikuwa vingi mno, anyways this is where I learned to read the novels plus the Mills and Boons)
hahahaaaaa,naikumbuka..
ntapata wapi hizi akina hammie,mtobwa na musiba?halafu kuna unyama wa mafia nacho..
You are right BabaDesi, Denise Robbins naye nimemsoma. Tatizo langu moja nikaja kuangukia zaidi kwenye vitabu vyenye umafia zaidi if not utemi, novel yoyote ikishaanza kupiga makele ya CIA, KGB and the like, haichelewi kuniweka macho robo tatu ya usiku! Nikasoma some of John Grisham, wakishaingia mahakamani nasinzia. Kwa hiyo most of the 'Mills and Boon', Denise Robbins......ambavyo at the end '.....they lived happily thereafter' zinanichoooosha.... Though if I don't have something to read, huwa navitafuta tu nisome..