Invarbrass
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 504
- 111
John Grisham, chek pia another side of midinight nayo nzuriIf tomorrow comes...
John Grisham, chek pia another side of midinight nayo nzuriIf tomorrow comes...
Umenukumbusha hii novel kuna sehem jamaa alisimamishwa mkutanoni alikuwa ni mnene basi mwenyekiti wa mkuitano nadhani alikuwa mkuu wa wilaya akawaambioa wananchi kuwa hawa ndio wanyonyaji na maadui wa azimio la Arusha eti kisa anakitambi. Au pale wale jamaa waliofukuzwa chuo kikuu walipopewa mtihani wa siasa na mkuu wa wilayaukiwa na maswali ya ajabu ajabu wakashindwa wakachapwa viboko. Kisa eti walijifanya wanajua siasa ya ujamaa.dunia uwanja wa fujo imeandikwa na Kezilahabi...naipenda sana.