Watumishi wa tumboni

Watumishi wa tumboni

Mwalimu wa tuisheni

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2019
Posts
8,268
Reaction score
14,505
Dah kumbe na nyie wamoravian mnatumika..? Mbona njaa inawashushia heshima yenu hivyo..? Kumbe siyo bure askofu Mwamakula aliwakacha baada yakuona nyie ni watumishi wa tumboni..

Haya sasa huu wimbo wa "cheo ni dhamana" unashida gani..?😀😀 mnawapiga madogo mikwara mbuzi ili kumfurahisha nani..?

Namkumbuka sana kaka yangu Fred Mwamakula alikuwa mtunzi mzuri sana sijui kama dogo nsaji anafuata nyayo za bro wake

sikilizeni hapa

Check out UNLIMITED GLORY's video! #TikTok
View: https://vm.tiktok.com/ZSCT27FLj/ This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: TikTok
 
Sadaka inatoka Ofisi kuu ya nchi usishange kumkuta mtukufu Samia kwenye Vituo vya sala Samia mtukufu uturehemu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom