Best MMU Threader/Commentator/Contributor of the Year 2013

Best MMU Threader/Commentator/Contributor of the Year 2013

Mtoa mada umekuwa kama tume ya uchaguzi ya tanzania wanatoa nafasi za watu wagombanie kumbe wanamjua nani mshindi.badili heading mkuu,

Wewe taja mwingine tu mkuu.
 
The Boss is the most dangerous man in JF!

Hii kitu mnapeana marks mnaofahamiana ni hatari. Na kama ndo viongozi tunaotegemea basi tutegemee madudu ya wazi ya mtu kushinda uchaguzi kwa asilimia 100
 
Last edited by a moderator:
SnowBall
Ole wako uwaeleze unachowaza
Naam unachowaza kutokana na uzi na/au michango yao
Mwanawane utakumbana na matusi ya ajabu
Wanapenda waseme wanayodhani ni sahihi hata kama ni nusu
Lakini ukiwasaidia kuwafafanulia upotovu wa mawazo yao
Shurti ukumbane na mitusi, mitusi ya kitoto
Mitusi tuliyokuwa nayo mitaa ya Temeke kwa Kindande
Naam Temeke Kwa Kindande ya Enzi za Tandika.​
Bandugu tuachie siye tuliyezoea kuwa na mawazo ya kushoto kila wakati
Kila wakati tunawaza mabalaa na majanga
Tunaandika baada ya tafakuri jadidi
Yenye uchambuzi yakinifu baada ya kuyajua madhaifu yaliyopo.
Hiyo wengine siye kina Bazazi ndio starehe yetu.
Starehe ya kuudhi watu bila kujali hisia zao
Ni ukweli kwa kwenda mbele.
​


Bazazi.
​

CHIZI UMEROGWA TENA! Makubwaaaaaaaaaaa! Hukawii kureport abuse!

NDIMI BIBI LENU MABAZAZI TANZANIA!!!!!!
 
CHIZI UMEROGWA TENA! Makubwaaaaaaaaaaa! Hukawii kureport abuse!

NDIMI BIBI LENU MABAZAZI TANZANIA!!!!!!
lara 1
Miye MENDE kwa wanawake waliooza
Una hoja?


Bazazi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom