SnowBall
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 3,052
- 2,846
Tupo bana..sema sasa hivi kidoogo narudi rudi
mi nakuona wewe tu.
To be sincere the guy HorsePower yuko vizuri sana..
Nakumbuka mwaka wa jana kwenye uzi kama huu nilishwahi ku-acknowledge michango yake.
Kulikuwa na jamaa mmoja anaitwa Tized ..this guy was also a good contributor kwenye issues zinazohitaji tafakuri jadidi..Of late kuna mtoto/mdada mmoja anaitwa Blue G ..huyu naye anankosha sana na jinsi anavyochangia.. Ila nikitaka kufurahi huwa lazima nifungue uzi wa aidha Mkunde Original au lara 1 ...these two fellas always speak what is inside of their souls..huwa hawajali utawachukuliaje..
The Boss hirizi yake ni avatar yake, akiibadilisha tu kwisha kazi, na utaona habadilishi ng'o! Mambo ya Bagamoyo haya - kuwavuta wapenzi wabishi wa JF.
Duuuhhh The Boss hizi tuhuma za kweli? yaani jf tuu watu wanaenda bagamoyo? Kama haya maneno ni kweli inatisha ila kama haya maneno si ya kweli this is an insult to The Boss, na mwenyewe mbona haji kusafisha jina lake au wanaibukiana pm? Sasa wengine tujue lipi ni kweli?
Ila kama avatar zinavuta watu kikweli mie ningemdondokea SnowBall maana nampenda sana hiyo jamaa movie zake lakini mbona kimoyomoyo sijamdondokea snowball au yeye hajaenda bagamoyo looh wanaume mna kazi
Hebu apia kama ni kweli?
Ila wewe bana unankosha sana..ikitokea pary nyengine ya ki-jf ntakuja nikuone!
kunani hapa simplicity
promo !!!!This dude, HorsePower, has an outstanding track of contribution at MMU forum. I came to realize that, his threads/comments/contributions are legible, elegant, precise, concise, consistent, realistic, reliable, morally acceptable, and have sound arguments! He actually stands out of MMU crowd!
If everyone could adapt his trend of contribution, MMU would be the best place ever!
I, therefore, commend him as the best MMU threader of the year!
Is there anyone with different opinion?
NB: Ila mie kwa kuanzisha magarasha MMU sijambo.
nishafika nakusubiri.
nami nifanye bidii mwakani....
Where is Babu Asprin OLESAIDIMU, Nyani Ngabu? Namkubali pia dada yangu Ablessed. Pia kuna watu wanaoonekana kuwa na some degree of honesty kama vile mimi49 na Himidini
- AshaDii
Smile- Kivumah
King'asti
Rutashubanyuma
kabanga- Kaizer
Consigliere
moto2012- Young Master
Asprin- Dark City
Fixed Point
EMT
mjasiria
Dingswayo
The Boss
Kimey
Paloma
Mwali
Mwana Mtoka Pabaya- BAK
- Eiyer
Mwita Maranya
Himidini
Mrembo by Nature
Mokoyo
zomba
kalukamise
Speaker- Arushaone
vamda
platozoom
ZeMarcopolo
Ng'wamapalala
HorsePower
Mr. President
snowhite
Husninyo
kilimasera
Mbu
Mtambuzi- Evelyn Salt
Oxlade-Chamberlain
MadameX
Kobe
blueprint.- neggirl
The Finest
MMAHE
Paw- Mentor
CHAMVIGA
Kongosho
amu
watu8
Shardcole
Globu
Mtoto halali na hela
Kaunga
Heaven on Earth
Bob Lee Swagger
SHERRIF ARPAIO
KOKUTONA
Azimio Jipya
Tuko
Mkuu Simplicity naona tuu nimetajwa kwenye huu uzi sasa sijui niko kwenye nini mkuu