Best MMU Threader/Commentator/Contributor of the Year 2013

Best MMU Threader/Commentator/Contributor of the Year 2013

The Boss ni mahiri kwa ku-flirting kwenye pm.

Yasemekana yeye ndio anaongoza kwa kuwalamba wadada wa MMU, na hii ndio imemfanya awe adimu jukwaa la siasa.

anawalambaje, kwa kuwageuza icecream ama?
 
Lazima nishindeMuulize lara 1, client3 nkAtakuwa na jibu kwanini.Bazazi!
heheheeeeeee, Bazazi ni Bazazi,pengine kura ingekuwa yangu tu,si unajua kila mtu ana jinsi yake ya kuona mambo,mimi ningekupa ya Scary commentator,heheheeee
 
Last edited by a moderator:
Huyu The Boss anamudu sana kucheza na hisia za warembo wa MMU.

Ukijuwa namna ya kucheza na hisia za wanawake basi umemaliza kila kitu chupi zinavuka zenyewe.

Aiseee.
 
Last edited by a moderator:
Simplicity umenisahau mimi kweli ngoja nirudi jf naanza kuchuja sasa
 
Last edited by a moderator:
Matola sio icecream yeye The Boss ni White sugar ya warembo haswaaa.
 
Last edited by a moderator:
Lazima nishinde
Muulize lara 1, client3 nk
Atakuwa na jibu kwanini.

Bazazi!

To be the worst sio kazi nyepesi, inihitaji juhudi kubwasana mkuu. Siri ya mafanikio naijua mwenyewe.
Lara1, Client3,na nk nawaogopa. Lakini namwogopa zaidi nk.Nitajihidi niwaulize wote watatu, nikianza na nk.
 
Back
Top Bottom