Best MMU Threader/Commentator/Contributor of the Year 2013

Best MMU Threader/Commentator/Contributor of the Year 2013

Kuna wale tunaojaza server tunajijua, nimesikia akina Invisible wanataka kuweka penalty mwakani.
 
Last edited by a moderator:
Ehhh eti kweli.. Simplicity. Lazima utakuwa mtabiri!are you are psychic au una sixth sense?
 
Last edited by a moderator:
Bazazi ni mshamba
Bazazi ni mtoto wa Kikopo
Bazazi anaandika kwa ajili ya kufikisha ujumbe
Bazazi hakujua kuwa kuna mashindano ya kuwa mchangiaji bora
Bahati mbaya kwa kuwa Bazazi ni mtoto wa kikopo hawezi kushinda hata siku moja
Michango ya Bazazi ni pasua kichwa, kwa ajili ya kurekebisha tabia potovu
Hakuna kuremba, hakuna diplomasia
Ni kurusha makavu tu.

Bazazi

​
 
Yupo vizuri pia, lakini sifa yake kubwa ni evenly distributed humu MMU. Ila akiamuka mood sio, anzisha thread inayohusu wanawake uone reactions zake! HorsePower anatreat threads zote fair hata kama zingine ni magarasha.

ahahaaaaa una kisa na mimi wewe Simplicity. lol
 
Last edited by a moderator:
Hapo umetunyima Uhuru wa kuchangia,au ulkua unataka tu support?kwa sababu kila mtu au watu wana wa kwao au kwake so kama VP to vote

Hapa nadhani mnataka kilichotokea chit chat kitokee na humu...!!

c.c: figganigga.
 
unaonaje mkuu ungeweka na the worst? ni kulinganisha tu mkuu, usiogope. ngoja nami nikaze buti ili niwe the worst, hahaha!
 
Bazazi ni mshamba
Bazazi ni mtoto wa Kikopo
Bazazi anaandika kwa ajili ya kufikisha ujumbe
Bazazi hakujua kuwa kuna mashindano ya kuwa mchangiaji bora
Bahati mbaya kwa kuwa Bazazi ni mtoto wa kikopo hawezi kushinda hata siku moja
Michango ya Bazazi ni pasua kichwa, kwa ajili ya kurekebisha tabia potovu
Hakuna kuremba, hakuna diplomasia
Ni kurusha makavu tu.

Bazazi

​

I salute you!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom