Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,196
- 34,502
Inaonekana kuna sehemu huwa wana collide.
Partners in crime hawa.
Inaonekana kuna sehemu huwa wana collide.
tinna cute wewe, naomba mazungumzo yaishie hapa, usitake nimkorofishe mimi49.Hhaaaa!!!!! una lako jambo avatar tu iwagombanishe???? sema usikike..
tinna cute wewe, naomba mazungumzo yaishie hapa, usitake nimkorofishe mimi49.
Simplicity mbona mie nipo tu availabo jameniDEMBA yuko wapi siku hizi?
Good question lol!!Kwani yameenda wapi?????
Mkuu mie niko kwenye kundi la wenye viroja mkuu, kwa uchangiaji bora huwa simogo
The Boss hirizi yake ni avatar yake, akiibadilisha tu kwisha kazi, na utaona habadilishi ng'o! Mambo ya Bagamoyo haya - kuwavuta wapenzi wabishi wa JF.
To be sincere the guy HorsePower yuko vizuri sana..
Nakumbuka mwaka wa jana kwenye uzi kama huu nilishwahi ku-acknowledge michango yake.
Kulikuwa na jamaa mmoja anaitwa Tized ..this guy was also a good contributor kwenye issues zinazohitaji tafakuri jadidi..Of late kuna mtoto/mdada mmoja anaitwa Blue G ..huyu naye anankosha sana na jinsi anavyochangia.. Ila nikitaka kufurahi huwa lazima nifungue uzi wa aidha Mkunde Original au lara 1 ...these two fellas always speak what is inside of their souls..huwa hawajali utawachukuliaje..
Unawashwa wewe???????
NDIMI BIBI LA MABAZAZI!