Mtu muhimu EM EM YUU. Nina safaari yangu nataka unisidikize, uko tayari?
Eee Himidini yanakaribiana japo sijui kama ni mtu mmoja...ila FP na FIXED POINT naona kama ni mtu mmoja maana hata miandiko yao inafananaMtambuzi na MziziMkavu sijui wako wapi? Halafu PLL, PL na FP na Fixed Point, haya majina yanakaribiana ee?
Hii picha nimeigopa sana! Sijui umeitoa wapi?