Best kolabo yako ni ipi hapa

Best kolabo yako ni ipi hapa

Dah bado sana sana🤣 By that age nilikuwa kama wewe kifua kipana flat tummy🔥 ni mwendo wa Tshirt na jeans.. Siku hizi😪
Daaah me mzee wangu akiwa na umri huu alikuwa 🔥🔥 mpk ananiuliza hulagi nn kijana Ila ndo inheri maake mzee wake hakuwa na mwili mkubwa ko wao wamerithi kwa bi mkubwa wao ambaye ni grandma kwangu
 
Mm kunenepa ni ngumu bhn i have tried vingi naona hapa ndo penyewe sasa 😅 ishu wadg zangu wanalipuka as if wamewekewa UREA
Ni kawaida kwa watoto wa mwanzo kuwa na udumavu maana mnapatikana kipindi ambacho wazazi hawajajipata na mkishakua, mnakomazwa na majukumu . So achilia moyo kaka unenepe 😁
 
Back
Top Bottom