Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 13,580
- 25,676
Ngoja nijitahidi brother 😅Ni kawaida kwa watoto wa mwanzo kuwa na udumavu maana mnapatikana kipindi ambacho wazazi hawajajipata na mkishakua, mnakomazwa na majukumu . So achilia moyo kaka unenepe 😁