Rayns
JF-Expert Member
- Jul 29, 2023
- 5,652
- 10,741
Hivi kitambi hutokana na kula sana au ni niniKitambi loading..😂
Hivi kitambi hutokana na kula sana au ni niniKitambi loading..😂
View attachment 3633870View attachment 3633871View attachment 3633870
Ngoma hiyo hapo nimekula haina kemikali za viwandani wala sumu, ikitokea basi ni 2%😂😂😂
Ntumie picha za safari lager mshana
unanipa ushauri gan ili mapafu yasijae?Mapafu yatajaa usumbue madoctar mloganzila
Nimekiona kinaanza 😝.Kitambi loading..😂
kitambi kinatokana na kula sana vyakula vya wanga na mafuta tumbon yanakuwa hayafanyi kaz yanaludikana mpaka kitambiHivi kitambi hutokana na kula sana au ni nini
Tawire 🤝Unajikuta upo Jamaica na Bob Marley. 😊
Nitakutafuta unisaidieUje Kilingeni nina tiba asilia
Mambo yangu kabisa haya.
Aika mbePepsi baridiii ikisindikizwa na chalari la moto au kiburu
😂😂😂😂 Maana nikaw nawaza inakuwaj mtu anakul kidg ananiach mezan af tumbo lake ni yangu matatu 😂Beer na michemsho ya bar ogopa sana hiyo kolabo haivimbishi inafutuza😂