Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,135
Kwani ameshaoteshwa?
Mkuu ocampo four kula like kubwa sana.......Kumshindanisha lowassa na Membe ni sawa sawa na kumshindanisha Jenerali Ulimwengu na Ramadhani Semtawa kwenye tasnia ya uandishi wa habari.....au kwa lugha nyepesi ni sawa na kumlinganisha Tembo na sisimizi
Najua kuna watu wanalipwa na wagombea na wamefumbia macho hata ukweli ulio wazi.
Nina uhakika 100% kwamba MEMBE ndie atakuwa RAIS wetu.
Kuna watu watatokwa na povu kama wamekunywa OMO but hiyo haisaidii ukweli utabaki ukweli.
SIJAWAHI KUKOSEA UTABIRIWANGU HATA MARA MOJA
1995 nilitabiri MKAPA ndie atashinda baada ya Mwalimu kzunguka nch nzima kumkampenia. Nilizodola sna na waenzi wa JK na MALECELA ambao hawakutaka kabisa kuaminikuwa mgombea wao
Angeshindwa maana wao waliaminikuwa MKAPA HAPENDWI NA WATANZANIA HAWAMJUI! MKAPA akawatimulia vumbi.Nilipowafuata wale jamaa zangu wakadai AMSHUKURUNYERERE EBOO!!!2005 nilisema kwamba JK ndiyeambaye atapita lakini kuna wengi walidai MALECELA NA SALIM A. SALIM ndo wana nafasi nzuri. Mi niliwaambiaMINUTES za kikao cha Kamati Kuu cha 1995 ambapo NYERERE alimkaa waziwaziMALECELA bado zipo sasa atapitaje???? Jamaa wakawa wabishi kama mshipa eti NYEREREKESHAKUFA NA FAILI LIMETIWA KIBERITI..EBOOO!!!NYERERE alimkataa LOWASSA MCHANA kweupe kwenyeKAMATI KUU 1995 na MINUTES BADO ZIPO HIVYO KAMATI KUU ITAMTEMA KIULAIIINI HUYOLOWASSA WENU.NAJUA VIKARAGOSI VYA LOWASSAVitakuja juu vikidhani pesa ya Lowasa ndo itamsaidia. MLIE TU. PIGA UA GARAGAZA, MEMBE NDIYERAIS WETU 2015 NA MJUE UKIWA WAZIRI WAMAMBO YA NJE UNA NAFASI KUBWA SANA!UZI HUU UTUNZWE ILI VAGOSI VYA LOWASANIJE KUVIZODOA BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU 2015 AMBAPO LAIGHWANAN ATATEMWA RASMI
Tushike lipi sasa? Vijana wa Membe wamehamia kwa Pinda kwa kuwa Membe hapokei simu zao au kwa kuwa Membe hauziki? Sitarajii jibu jepesi kwamba yote hayo coz' uliyesema "correct" umeunga mkono hoja ya huyo wa juu!
Kikaragosi ni wewe mwenyewe, njaa zako zitakupelekea kuja kudaiwa pesa na boss wako membe Maana hata umsifie vipi Hana Mvuto na hauziki , wengi wanajua Kuwa ni mmiliki wa Taasisi ya kuchafua watu mtandaoni. Membe ikulu atapasikia kwenye bomba tu.MIMI NDIYE MLETA UZI SO HOJA ZENU VIKARAGOSI VYA LOWASSA
- MEMBE hakuna mtu anayemjua labda kwao Lindi
Sishangazwi na hoja hii maana hata wa lkatiwa MKAPA watu walinijia juu sana na kumtukana majina yote lakini MWISHO WA SIKUMKAPA AKAWA RAIS. VIKARAGOSI VYA LOWASSA VITATUKANA SANA BUT RAIS NI MEMBE
- MEMBE akiwa Rais nahamia Somalia
EBOO we KIKARAGOSI ukihama cc tutangukiwa nini??? Sana sana tutandokana napumba zako na TUTAFURAHI SANA.
- MEMBE Hawezi kupiga kampeni mwenyewe anasubirimbeleko ya JK na mama Salma
Hata MKAPA alipigiwa kampeni na NYEREREnchi nzima
MMEKUNYWA OMO MNATOA POVU HA HA HA. JENGENIHOJA
uzi huu huwezi kuwaona pro membe chabruma na lizaboni..teh teh
Mkuu JokaKuu, za miongo kadhaa! Naona unataka kuifufua tena ile mada wakati ilishakufa... nakuomba usifanye hivyo kwavile wala hatutafikia muafaka! Hata hivyo, nitakujibu kwa uchache sana kulingana na ufahamu wangu. Mosi, kwa muda mrefu sasa am not active... si mitandaoni tu even in the real world... am kinda busy aisee! Kile kikao ambacho Membe alikusudia kuitisha hakikufanyika simply because, pamoja na kwamba other EAC leaders hawakunesha ushirikiano lakini Egypt iliamua kukaa meza moja na mchangiaji mkubwa wa maji ya mto Nile yaendayo Egypt... mchangiaji huyu ni Ethiopia. Ethiopia, Egypt na Sudan zilikubaliana zingekutana nchini Sudan mwezi uliopita. Sijafuatilia kufahamu ikiwa walikutana na kama walikutana walikubaliana nini! Nikipata wasaa, nitadodosa lakini hivi sasa nipo bize na demu wangu mpya!
Yaani kwavile ameilaani Israel ndo anaendekeza udini?? Udini anaouendekeza ni upi na kwa maslahi ya dini gani dhidi ya dini ipi?HUYU MWANZILISHI WA HII THREAD ANAJUA KABISA TUSIVYOMPENDA MEMBE ILA AMEAMUA KUTUHARIBIA SK YETU LEO.MEMBE HAKUNA ANAYEMTAMKIA MAZURI HATA MMOJA,USHAHIDI TIZAMA WACHANGIAJI WA HII THREAD WOTE WANAMLAANI,NAMI NAMLAANI SANA,mtu Mwenye Kuendekeza Udini,et Kailaani Israel,et Ndugu Zake Wapalestina Wanauliwa,walipouliwa Waisrael Alishangilia Sana, Haya Isi Kule Iraki Inachinja Watu Membe Umemsikia Akilaani? Huyu Anafaa Kuwa Rais Wa Mkewe Tu Hata Huko Wama Hafai,na AKIWA RAIS MEMBE NCHI HII, NAOMBA NIHESABIWE MIMI SIYO MTANZANIA,