lutamyo
JF-Expert Member
- Apr 13, 2011
- 641
- 159
Ndugu Galiya weye ambaye ni mtabiri baada ya shee Yahaya ndio unatokwa na povu hebu tuambie Camelion Membe aka popo au almalufu joka la mdimu ataapa kwa dini gani. ...maaana mabwana zake wanajua mwenzao Saaa wewe mganga wake tueleze . Pili kwa tusomjua huyo popo anafananaje atauzika namna gani . Nionavyo mtachafuana sana ila mnara wa wanafiki daima haudumu . Ndani ya ccm hamna ujanja kabisa wa Kumg'oa mamviii ndio maaana joka la mdimu anatumia kila mbinu na anajua wengi wetu wa Watanganyika ni nyanya masalo. JK alipoulizwa kwa nn tz nine maskini akasema hajui name mpaka anamaliza hajui. Sababu ni watu kama nyie wapagazi, mnao wabeba wengine ili kushibisha tumbo name ndio vijana wengi name wazee wengi wa Tanganyika. Membe hataaweje Duniani hana chake maana kamkana mwana wa Adamu zaidi ana laaana maana amelaaniwa anayelaani taiifa la IsraelMIMI NDIYE MLETA UZI SO HOJA ZENU VIKARAGOSI VYA LOWASSA
- MEMBE hakuna mtu anayemjua labda kwao Lindi
Sishangazwi na hoja hii maana hata wa lkatiwa MKAPA watu walinijia juu sana na kumtukana majina yote lakini MWISHO WA SIKUMKAPA AKAWA RAIS. VIKARAGOSI VYA LOWASSA VITATUKANA SANA BUT RAIS NI MEMBE
- MEMBE akiwa Rais nahamia Somalia
EBOO we KIKARAGOSI ukihama cc tutangukiwa nini??? Sana sana tutandokana napumba zako na TUTAFURAHI SANA.
- MEMBE Hawezi kupiga kampeni mwenyewe anasubirimbeleko ya JK na mama Salma
Hata MKAPA alipigiwa kampeni na NYEREREnchi nzima
MMEKUNYWA OMO MNATOA POVU HA HA HA. JENGENIHOJA