Bernad Camillius MEMBE ndiye RAIS WA TZ 2015

Status
Not open for further replies.

galiya

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2012
Posts
302
Reaction score
133
Najua kuna watu wanalipwa na wagombea na wamefumbia macho hata ukweli ulio wazi.

Nina uhakika 100% kwamba MEMBE ndie atakuwa RAIS wetu.

Kuna watu watatokwa na povu kama wamekunywa OMO but hiyo haisaidii ukweli utabaki ukweli.

SIJAWAHI KUKOSEA UTABIRIWANGU HATA MARA MOJA

1995 nilitabiri MKAPA ndie atashinda baada ya Mwalimu kzunguka nch nzima kumkampenia. Nilizodola sna na waenzi wa JK na MALECELA ambao hawakutaka kabisa kuaminikuwa mgombea wao

Angeshindwa maana wao waliaminikuwa MKAPA HAPENDWI NA WATANZANIA HAWAMJUI! MKAPA akawatimulia vumbi.Nilipowafuata wale jamaa zangu wakadai “AMSHUKURUNYERERE” EBOO!!!2005 nilisema kwamba JK ndiyeambaye atapita lakini kuna wengi walidai MALECELA NA SALIM A. SALIM ndo wana nafasi nzuri. Mi niliwaambiaMINUTES za kikao cha Kamati Kuu cha 1995 ambapo NYERERE alimkaa waziwaziMALECELA bado zipo sasa atapitaje???? Jamaa wakawa wabishi kama mshipa eti “NYEREREKESHAKUFA NA FAILI LIMETIWA KIBERITI”..EBOOO!!! NYERERE alimkataa LOWASSA MCHANA kweupe kwenyeKAMATI KUU 1995 na MINUTES BADO ZIPO HIVYO KAMATI KUU ITAMTEMA KIULAIIINI HUYOLOWASSA WENU.NAJUA VIKARAGOSI VYA LOWASSAVitakuja juu vikidhani pesa ya Lowasa ndo itamsaidia. MLIE TU. PIGA UA GARAGAZA, MEMBE NDIYERAIS WETU 2015 NA MJUE UKIWA WAZIRI WAMAMBO YA NJE UNA NAFASI KUBWA SANA!UZI HUU UTUNZWE ILI VAGOSI VYA LOWASANIJE KUVIZODOA BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU 2015 AMBAPO LAIGHWANAN ATATEMWA RASMI
 
Nyerere ndo Mungu was Tanzania?
 
Kalifanyia nini taifa hili mpaka tumpe urais.......mwaaume daima upigana vita mwenyewe sasa nashangaa yeye anasubiri mpaka abebwe na mke wa rais hahahahahaha aisee hii ya kwake kali mkuu
 
Ufalme njozi is a form of mental disease; Seek psychiatric help. Bs
 
Najua kuna watu wanalipwa na wagombea na wamefumbia macho hata ukweli ulio wazi.

Nina uhakika 100% kwamba MEMBE ndie atakuwa RAIS wetu.

Kuna watu watatokwa na povu kama wamekunywa OMO but hiyo haisaidii ukweli utabaki ukweli.

SIJAWAHI KUKOSEA UTABIRIWANGU HATA MARA MOJA

1995 nilitabiri MKAPA ndie atashinda baada ya Mwalimu kzunguka nch nzima kumkampenia. Nilizodola sna na waenzi wa JK na MALECELA ambao hawakutaka kabisa kuaminikuwa mgombea wao

Angeshindwa maana wao waliaminikuwa MKAPA HAPENDWI NA WATANZANIA HAWAMJUI! MKAPA akawatimulia vumbi.Nilipowafuata wale jamaa zangu wakadai “AMSHUKURUNYERERE” EBOO!!!2005 nilisema kwamba JK ndiyeambaye atapita lakini kuna wengi walidai MALECELA NA SALIM A. SALIM ndo wana nafasi nzuri. Mi niliwaambiaMINUTES za kikao cha Kamati Kuu cha 1995 ambapo NYERERE alimkaa waziwaziMALECELA bado zipo sasa atapitaje???? Jamaa wakawa wabishi kama mshipa eti “NYEREREKESHAKUFA NA FAILI LIMETIWA KIBERITI”..EBOOO!!! NYERERE alimkataa LOWASSA MCHANA kweupe kwenyeKAMATI KUU 1995 na MINUTES BADO ZIPO HIVYO KAMATI KUU ITAMTEMA KIULAIIINI HUYOLOWASSA WENU.NAJUA VIKARAGOSI VYA LOWASSAVitakuja juu vikidhani pesa ya Lowasa ndo itamsaidia. MLIE TU. PIGA UA GARAGAZA, MEMBE NDIYERAIS WETU 2015 NA MJUE UKIWA WAZIRI WAMAMBO YA NJE UNA NAFASI KUBWA SANA!UZI HUU UTUNZWE ILI VAGOSI VYA LOWASANIJE KUVIZODOA BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU 2015 AMBAPO LAIGHWANAN ATATEMWA RASMI
Membe hyu huyu ninaye mjuwa akienda uarabuni ni muislamu akirudi nchini mkristo?au mnamzungunzia yupi?
 
Najua kuna watu wanalipwa na wagombea na wamefumbia macho hata ukweli ulio wazi.

Nina uhakika 100% kwamba MEMBE ndie atakuwa RAIS wetu.

Kuna watu watatokwa na povu kama wamekunywa OMO but hiyo haisaidii ukweli utabaki ukweli.

SIJAWAHI KUKOSEA UTABIRIWANGU HATA MARA MOJA

1995 nilitabiri MKAPA ndie atashinda baada ya Mwalimu kzunguka nch nzima kumkampenia. Nilizodola sna na waenzi wa JK na MALECELA ambao hawakutaka kabisa kuaminikuwa mgombea wao

Angeshindwa maana wao waliaminikuwa MKAPA HAPENDWI NA WATANZANIA HAWAMJUI! MKAPA akawatimulia vumbi.Nilipowafuata wale jamaa zangu wakadai "AMSHUKURUNYERERE" EBOO!!!2005 nilisema kwamba JK ndiyeambaye atapita lakini kuna wengi walidai MALECELA NA SALIM A. SALIM ndo wana nafasi nzuri. Mi niliwaambiaMINUTES za kikao cha Kamati Kuu cha 1995 ambapo NYERERE alimkaa waziwaziMALECELA bado zipo sasa atapitaje???? Jamaa wakawa wabishi kama mshipa eti "NYEREREKESHAKUFA NA FAILI LIMETIWA KIBERITI"..EBOOO!!!NYERERE alimkataa LOWASSA MCHANA kweupe kwenyeKAMATI KUU 1995 na MINUTES BADO ZIPO HIVYO KAMATI KUU ITAMTEMA KIULAIIINI HUYOLOWASSA WENU.NAJUA VIKARAGOSI VYA LOWASSAVitakuja juu vikidhani pesa ya Lowasa ndo itamsaidia. MLIE TU. PIGA UA GARAGAZA, MEMBE NDIYERAIS WETU 2015 NA MJUE UKIWA WAZIRI WAMAMBO YA NJE UNA NAFASI KUBWA SANA!UZI HUU UTUNZWE ILI VAGOSI VYA LOWASANIJE KUVIZODOA BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU 2015 AMBAPO LAIGHWANAN ATATEMWA RASMI

Nimesoma heading tu ya thread nikaona nisema kidogo. Ni bora kuwa raia wa Somalia, kuliko kuwa na raisi huyu.
 
Nyerere ndo Mungu was Tanzania?
Hahahahaha asante mkuu......hawa watu wa WAMA wanahangaika sana.....vijiweni wanakuambia kumpa Membe urais bora DOVUTWA mara mia moja....akawe rais au ofisa mtendaji mkuu (CEO) wa WAMA Organization
 
Kama Rais wa WAMA hapo hapaitajiki tume ajiandae kuvaa viatu vya mama apige wimbo wa nani kama mama ila wa Jamhuri tena Muungano hata kuwaza kuuota asijaribu hajui LANGWINANA
 
kati ya hawa kuna rais Dr Slaa au Prof.Lipumba amini,CCM wataping'wa vibaya sana.
 
Du kweli mwaka huuu tutaona matabiri wengi saana ila hebu tusaidie kumjua popo camelion vizuri ndugu mganga
 
List inazidi kuwa kubwa - inaonekana mnyukano mkubwa ndani ya CCM kumpata yule atawapeperushia bendera yao
Hebu tufanya Update kidogo hapa

1. Edward Lowassa
2. Benard Membe
3. Samweli Sitta
4. Steven Wassira
5. January Makamba
6. Hamis Kigwangala
7. Willam Ngeleja

Hapa inaonekana kuwa na mtifuano hasa kwenye number zile za juu - haya sisi hatuna shida mshindi wao tunamsubiri upande wa pili.
 
Mtu mwenyewe ana ubaguzi wa kidini (rejea kauli yake juu ya Israel na Palestina 24/1/2014) aliweka ubaguzi wazi kabisa wa kidini.....pili rejea kauli yake ya juzi na bahati mbaya ikawekwa na watu wake mitandaoni kusipo kujua kuwa imedhihirisha ubaguzi wake wa kikabila, juzi alisema rais atoke kabila dogo kitu ambacho alishindwa kujua ni kwamba machafuko makubwa hapa Africa ni kwa sababu ya ubaguzi wa kikabila, alafu eti ni mwanadiplomasia.... How can he dare kutoa maneno kama hayo aisee hii ni hatari sana.....please chonde chonde tusikubali ubaguzi wa namna yoyote ile anaoleta huyu jamaa
 
Membe kwenye mbio za urais 2015 anaishia kutajwa JF tu na makuwadi wake wa siasa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom